Ama kweli ubinadamu kazi,kikulacho.....

LuCKNOVICH

Senior Member
Jan 22, 2011
104
11
Jaribu kufikiria,mke/mme umekaa nae kama 10 yrs,siku moja mnagombana/kukorofishana tu hapo ndo mambo yote na siri zote zitatoka.mara mchawi,pesa zako za mapaka etc.
Mwingine anaishi mjini kwa mchango wako either unampa/umemtafutia kibarua mahala,ukiyumda kidogo kiuchumi ndo wa kwanza kukutangaza.
Je,binadamu ni wa aina gani?Ipi bora uwe na roho nzuri au mbaya?
Mimi nimeamua kuwa bedui kama sio Nduli kabisa,sijui wenzangu.

Naweka jamvini
 
Binadamu habari nyingine !
Kiumbe mzito!
Sometimes bora uishi na jiwe kuliko binadamu.
 
Unamaanisha nini kuwa bedui? Hutoa msaada kwa nduguzo au hufungamani nao ktk shda zao?
 
Kuishi vizuri na watu yahitaji upendo wa kweli wa Mungu....Dunia imepoteza mapendo ndo maana hatuheshimiani wala kupendana..tunadhalilishana n.k
 
kheri adui shetani, kuliko adui b'dam.
Huwa najiuliza hivi hizo roho mbaya huwa wamezaliwa nazo au kuna baadhi ya vitu/mambo ktk mazingira tunayoishi vinawabadilisha?
 
ubinadamu kazi, hasa wabinadamu ambao hawanunui bia na vikao vya kunywa wanapenda wawepo
 
Lucifer yupo kazini kuhakikisha kila binadamu amuone mwenzake ADUI, ashindwe kwa Jina la YESU KRISTU! Yule anayemweka YESU kama NGAO ndo tunu ya UPENDO KWA WENGINE!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom