Ama kweli, Tanzania itauzwa kwasababu ya mikopo

THE MARSHALL PLAN SUCCEEDED IN EUROPE BECAUSE THEY HAD STRONG INSTITUTIONS which are lacking in countries like Tanzania!! Kukosekana kwa taasisi zenye nguvu ndio chanzo cha matumizi mabaya ya rasilimali za nchi zinazohitajika kuleta maendeleo.
Excuse me, I beg to differ. Strong institutions are result not the cause of having strong men. What is lacking in Africa is men of Integrity. Strong men of Integrity with immense love for their fellow results in well functioning institutions and good use of resources. So in my humble opinion, Africa is lacking just that.

To make my case, look Trump's America and Biden's America. They are totally different. But Americans are one of the people with strong institutions and many likes to refer to them as a good example.

Let's focus on the really problem, which is lack of upright men. And this should start at the family level. Things are quiet messed up, down there. I fear the future of this country is even grimmer when I look at spoiled boys and girls in school. We are not fixing the core of the issue!
 
Mwaache akope tu huko kwa wazungu masuala ya kupokonyana pesa na matask force hatutaki Tena hii nchi itakuwepo hatatutakapo kufa sisi zitalipwa tu hizo pesa
Shida mnakopa zinaliwa juu kwa juu na kufichwa bank za Ulaya kisha masikini ndo utakiwa kulipa.
 
Yule jiwe a.k a mzimu wa sukuma gang ndiyo amesababisha yote haya. Aliua biashara zote kubwa na ndogo kwa kupora fedha za watu. Vyanzo vyote vya Kodi vikafa. Akawa anakopa hovyo tena kwa siri kubwa mikopo ya kibiashara ambayo riba zake ni kubwa.

Mama hana namna, maana nchi imeachiwa matatizo na madeni makubwa na jiwe.

Mama anakopa mikopo yenye riba nafuu ili kuinusuru nchi. Asante mama.
Mkopo ni Mkopo tu hauna cha nafuu
 
Wanabodi,

Misaada na mikopo iliwahi kuwa mizuri katika kuleta maendeleo haswa katika kipindi cha baada ya vita vikuu vya pili vya dunia. Nchi kama Uingereza na Ufaransa zilipata maafa makubwa sana vitani na kwasababu hiyo ilibidi wapate misaada kujenga uchumi wao upya. Mpango wa misaada hii ilipewa Jina liitwalo "The Marshall plan" na ilitolewa na wamarekani kwa ajili ya nchi za ulaya magharibi. Malengo ya misaada kama hii ilikuwa kuwezesha nchi husika kujikwamua kutoka kwenye hali waliyokuwa nayo. Hadi sasa, tunashuhudia umuhimu wa kipindi hicho katika historia ya nchi hizo. Mpango huu wa Marshall ulifanikiwa kwa kiasi kikubwa katika kusaidia nchi hizi za ulaya kujikwamua kiuchumi.

Katika kipindi hiki, ilionekana kabisa kwamba misaada na mikopo inaweza kusaidia nchi yoyote kutatua changamoto zake na kuboresha maisha ya wananchi wake. Baada ya mafanikio ya Marshall plan,, mfumo kama huo ulitumika kusaidia nchi za dunia ya tatu zilizopo Afrika. Cha kusikitisha ni kwamba nchi za Afrika, zimeshindwa kutumia misaada na mikopo hii vizuri. Inawezekana kabisa kwamba deni la taifa Lime sababishwa na maamuzi mabaya haswa katika kukubali misaada na mikopo inayo semekana kuwa ya gharama nafuu.

Kuna umuhimu sana wa kuwa na nchi inayoweza kujiendesha yenyewe na kwasababu hiyo, sikubaliani na maoni ya Rais Samia ya kupata mikopo ya gharama nafuu kuendeleza miradi mbali mbali nchini, haswa ya ujenzi. Sio sahihi kukopa fedha kwa ajili ya matumizi ya kila siku na kwasababu hio ingependeza sana kama mikopo hii ingetumika katika sekta zinazo ingizia serikali faida. Kwa mfano, ujenzi wa madarasa mengi unasaidia wananchi lakini haiongezei serekali mapato yoyote na wakati wa kulipa ukifika lazima fungu litoke sehemu nyingine.

Je ni kweli kwamba serikali inakopa fedha kwasababu ina uhakika wa kupata fedha hizo baadaye?. Je changamoto kubwa katika kuendeleza miradi ni ukosefu wa fedha nyingi kwa mkupuo?. Je serikali ina "excess" ya fedha ambazo baada ya kusanywa kwa muda zinaweza kusaidia kwenye ulipaji wa madeni?
Huku zikija zinapigwa na wajanja wachache sn
 
Excuse me, I beg to differ. Strong institutions are result not the cause of having strong men. What is lacking in Africa is men of Integrity. Strong men of Integrity with immense love for their fellow results in well functioning institutions and good use of resources. So in my humble opinion, Africa is lacking just that.

To make my case, look Trump's America and Biden's America. They are totally different. But Americans are one of the people with strong institutions and many likes to refer to them as a good example.

Let's focus on the really problem, which is lack of upright men. And this should start at the family level. Things are quiet messed up, down there. I fear the future of this country is even grimmer when I look at spoiled boys and girls in school. We are not fixing the core of the issue!
Pamoja na kuwa na watu wenye integrity in muhimu pia kuwa na mipango ya serikali ya muda mrefu iliyo chambuliwa kwa kina. Katika mipango hii, lengo linatakiwa kuwa kutatua "root cause" ya changamoto tulizo nazo. Kwa mfano, ujenzi wa vituo vya afya vingi nchini haimaanishi kwamba watanzania wote wanapata afya bora. Wananchi wote kuwa na bima ndio njia moja ya kutokomeza tatizo hilo. Madarasa hayata wahi kuwa sababu ya watoto wetu kupata elimu bora.

Ninaamini kwamba viongozi wetu wanatakiwa ku "picture" Tanzania itakavyo kuwa ndani ya miaka kumi au ishirini kabla ya kuchukua mikopo ya muda mrefu. Hii itawasaidia katika kufahamu mahitaji ya serikali, jinsi itakavyo tumia mikopo hiyo kutokomeza changamoto kabisa, na cha muhimu zaidi na jinsi ya kulipa madeni. Integrity na long term planning kwenye mikopo vinaenda sambamba
 
It was not until 2006, for example, that Britain fully repaid its lend-lease debts to the United States from World War II. Some international loans from the aftermath of World War I were never fully paid and were effectively put aside in 1934, though Britain also failed to recoup debts it was owed by other nations

Ilikuwa hadi 2006, kwa mfano, kwamba Uingereza ililipa kikamilifu madeni yake ya kukodisha kwa Marekani kutoka Vita Kuu ya II. Baadhi ya mikopo ya kimataifa kutoka baada ya Vita vya Kwanza vya Kidunia haikulipwa kikamilifu na iliwekwa kando mwaka wa 1934, ingawa Uingereza pia ilishindwa kurejesha madeni iliyokuwa iinazidai nchi nyingine.
Huo ni mfano wa jinsi ambavyo circumstances zinavyoweza kubadilika
 
Viongozi wa Africa bado wanawanza kitumwa, mtumwa hata umuache huru, umwambie nenda uko huru. Atamuliza bwana aliyemtawala sasa unaniamuru kwenda nitaishi vipi!? Wanaona maisha bila utwana wa fikra ni sawa na mto kupanda kilima. Wamekuwa masnitch aka machawa wa wazungu ili waendelee kutawaliwa.
 
THE MARSHALL PLAN SUCCEEDED IN EUROPE BECAUSE THEY HAD STRONG INSTITUTIONS which are lacking in countries like Tanzania!! Kukosekana kwa taasisi zenye nguvu ndio chanzo cha matumizi mabaya ya rasilimali za nchi zinazohitajika kuleta maendeleo. Rasislimali hizo [ ziwe za ndani ya nchi au kutoka nje kama mikopo na misaada mingine], pale tu zitakapotumika vizuri kwa manufaa ya Wananchi ndio maendeleo yatakapopatikana!

Hivi sasa Samia hata atembee Dunia Nzima akiomba mikopo haitaleta maendeleo [ itakuwa sawa na kujaribu kujaza maji kwenye ndoo iliyotoboka ]bali kuwa zigo kwa Taifa kama madeni ;mpaka pale tu taasisi zote muhimu zitakapo pewa nguvu kwa kulindwa na sheria thabiti, hapo ndipo umuhimu wa kuwa na katiba mpya itakayozipa taasisi zetu nguvu unapojitokeza.

Nchi inapokuwa na taasisi zenye nguvu nchi hiyo inakuwa na Amani na ni Amani ambayo inavutia wawekezaji kuleta mitaji yao na kuwekeza. Hakuna kitu wawekezaji wanaogopa katika nchi kama istability kwani mitaji yao inaweza kuyeyuka wakati wa machafuko!!! Wawekezaji hawaji kuwekeza kwa kuangalia sura za viongozi, kwani wakiondoka madarakani bila kuwa na taasisi thabiti kunakuwa hakuna CONTUNUITY!
Mleta mada mwambie kuhusu Katiba Mpya ataruka kimanga🤣🤣
 
Viongozi wa Africa bado wanawanza kitumwa, mtumwa hata umuache huru, umwambie nenda uko huru. Atamuliza bwana aliyemtawala sasa unaniamuru kwenda nitaishi vipi!? Wanaona maisha bila utwana wa fikra ni sawa na mto kupanda kilima. Wamekuwa masnitch aka machawa wa wazungu ili waendelee kutawaliwa.
🤣🤣🤣
 
THE MARSHALL PLAN SUCCEEDED IN EUROPE BECAUSE THEY HAD STRONG INSTITUTIONS which are lacking in countries like Tanzania!! Kukosekana kwa taasisi zenye nguvu ndio chanzo cha matumizi mabaya ya rasilimali za nchi zinazohitajika kuleta maendeleo. Rasislimali hizo [ ziwe za ndani ya nchi au kutoka nje kama mikopo na misaada mingine], pale tu zitakapotumika vizuri kwa manufaa ya Wananchi ndio maendeleo yatakapopatikana!

Hivi sasa Samia hata atembee Dunia Nzima akiomba mikopo haitaleta maendeleo [ itakuwa sawa na kujaribu kujaza maji kwenye ndoo iliyotoboka ]bali kuwa zigo kwa Taifa kama madeni ;mpaka pale tu taasisi zote muhimu zitakapo pewa nguvu kwa kulindwa na sheria thabiti, hapo ndipo umuhimu wa kuwa na katiba mpya itakayozipa taasisi zetu nguvu unapojitokeza.

Nchi inapokuwa na taasisi zenye nguvu nchi hiyo inakuwa na Amani na ni Amani ambayo inavutia wawekezaji kuleta mitaji yao na kuwekeza. Hakuna kitu wawekezaji wanaogopa katika nchi kama istability kwani mitaji yao inaweza kuyeyuka wakati wa machafuko!!! Wawekezaji hawaji kuwekeza kwa kuangalia sura za viongozi, kwani wakiondoka madarakani bila kuwa na taasisi thabiti kunakuwa hakuna CONTUNUITY!

Je tanzania ina instability?? au umeongea point ukapitiliza
 
Je tanzania ina instability?? au umeongea point ukapitiliza

Instability sio lazima kuwe na mapigano!! Kwa mfanyabiashara/ muwekezaji kuwekeza anaangalia usalama wa uwekezaji wake [ RISK AVERSION} Hivyo kama nchi ina mahakama ambazo hazitendi haki na mahakama zimesheheni majaji wala rushwa, hiyo kwa mfanyabiashara/ muwekezaji ni no no situation!! Nchi inayonuka rushwa na mahakama sisizokuwa huru ni UNSTABLE as far as investors are concerned!!
 
Hapana anauza Ngorongoro warabu wanataka nyama poli sio bahari, kwao bahari ipo.
Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Makamu wa Rais ambaye ni Waziri Mkuu wa Nchi za Falme za Kiarabu na Mtawala wa Dubai, Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum

Amekutana naye baada ya kuhutubia katika Maonesho ya Dubai Expo 2020 katika Mji wa Dubai leo Februari 26, 2022
 
Wanaongea kiarabu wenyewe kwa wenyewe wanandugu na kuuziana Ngorongoro sio?!
 
Kama tunaendekeza ile falsafa mbovu inayoitwa KAZI NA BATA ! Tujue kwamba kila pesa itakayopatikana iwe ni ya mikopo au ya Tozo na makusanyo ya ndani HAZITOTOSHA ASILANI !! wote tunaowaona waliopiga hatua kubwa za maendeleo walijifunga mikanda katika kuchapa kazi na kusahau habari ya kula BATA !!! hii nchi ina kila kitu tunakwama wapi wajameni ???!!!

JK alishawahi kuulizwa hilo swali Tanzania inakwama wapi akajibu hajui…

Km kiongozi wako anajibu hivyo na yeye yupo jikoni kilichobaki wewe lima zako mchicha siku ukiambiwa wewe ni msukule wa waarabu utakachovuna chochote kiende kwao uwe mpole tu
 
Back
Top Bottom