Ama kweli Saudi Arabia si chochote kwa Iran

Ama kweli Saudi Arabia si chochote kwa Iran

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Syria wanatumia S-200 na S-300 ambazo wamepewa mwaka jana kama si mwaka juzi. Ziko somehow outdated. Sasa tuje kwenye mizani. Syria inapigwa na Israel ambayo inatumia advanced technology. Tuseme simba kampiga chui. Sasa wajomba zangu Saudi Arabia wamepigwa na Houthi, ambayo kwanza haina wanajeshi bali ina 'wapiganaji' yaani wale wa kujitolea hawana vipimo vya daktari kuonesha wako fit for military service wala nini. Silaha zenyewe za kuungaunga, mi naamini hizo drone walizotumia zimefungwa kwa superglue[emoji23][emoji23] na nyaya za kufunga kwa mikono. Simba kapigwa na nguruwepori
 
Inawezekana kwa hoja ya kwanza. Mbona China na India ni maadui lakini Urusi anawauzia very advanced systems wote wawili. Mfano makombora ya BrahMos anawapa wahindi then anawasaidia kutengeneza ndege zao za Tejas, Wachina anawapa advanced jets na leseni za kutengeneza silaha zao/kukopi. Kwa hoja ya pili ndo ina mashiko
Kumbuka utusi hamuuzii India sulaha ili. Kupambana na China wala China kupambana na India bifu la china na India ni la kibiashara tuu na usitegemee hata siku moja wataingia vitani!! Wote wanauziwa ili kujilinda china dhidi ya Marekani na ulaya huku india adui wake mkubwa ni Pakistan
 
MaShambulio anayofanya muajemi Huwa ni ya kushangaza sana yaani hakubahatishi anakuchapa kichapo kitakatifu
...,Pin point accuracy
....Precision strike
Ya akili kubwa Sana mkuu analenga jicho tu!
RTX737JX.jpg

Alichagua pakupiga kama vile anacheza mchezo wa bao!
 
Inawezekana kwa hoja ya kwanza. Mbona China na India ni maadui lakini Urusi anawauzia very advanced systems wote wawili. Mfano makombora ya BrahMos anawapa wahindi then anawasaidia kutengeneza ndege zao za Tejas, Wachina anawapa advanced jets na leseni za kutengeneza silaha zao/kukopi. Kwa hoja ya pili ndo ina mashiko
hizo nchi ulizotaja sio marafiki wa marekani kivile,sidhani kama ana bade yake ya kijeshi hata moja katika hizo,,saudia,south korea,hawawezi hata kununua bunduki moja toka russia.
 
Syria wanatumia S-200 na S-300 ambazo wamepewa mwaka jana kama si mwaka juzi. Ziko somehow outdated. Sasa tuje kwenye mizani. Syria inapigwa na Israel ambayo inatumia advanced technology. Tuseme simba kampiga chui. Sasa wajomba zangu Saudi Arabia wamepigwa na Houthi, ambayo kwanza haina wanajeshi bali ina 'wapiganaji' yaani wale wa kujitolea hawana vipimo vya daktari kuonesha wako fit for military service wala nini. Silaha zenyewe za kuungaunga, mi naamini hizo drone walizotumia zimefungwa kwa superglue[emoji23][emoji23] na nyaya za kufunga kwa mikono. Simba kapigwa na nguruwepori
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
hizo nchi ulizotaja sio marafiki wa marekani kivile,sidhani kama ana bade yake ya kijeshi hata moja katika hizo,,saudia,south korea,hawawezi hata kununua bunduki moja toka russia.
Hakika mkuu China Na India ni Nchi huru tofauti Na Hawa saudia Na South Korea ambao ni makoloni ya US.

Ni jambo gumu sana Kwa saudia kununua silaha za urusi Bila kibali cha mkoloni wao US.
 
Hivi unaijua mpaka ya Iran kijogorafia ?eneo Iran ambalo yupo ni lahisi sana kuleta madhara kwa uchumi wa dunia.
Njia inayo pitisha 30%ya mafuta inamilikiwa na Iran.
Kwa hiyo vita ikitokea tegemea mafuta yatapanda bei sana na uchumi wa dunia unategemea mafuta.
Katika maisha yako ya kila siku ili yawe rahisi ni lazima mafuta yawe bei chee.
Mafuta yakipanda tambua na umeme,nauli,bidhaa zote za viwandani ambazo unazitegemea ili uishi ,hivyo vyote vitapanda bei .
Mkuu kwani mimi nimesemaje? Mbona nayajua yote hayo uliyoeleza. Hapo nimejaribu kufananisha yaliyotokea Iraq 2003na yale ambayo yangekuja kutokea iwapo Marekani itaipiga Iran.
 
Dhidi ya North Korea mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
North Korea ndio. Lakini China pia hana jema na ROK, kumbuka anamuunga mkono DPRK. Adui wa adui yako ni rafiki yako. We si unakumbuka kisa cha USSR kipindi cha WW2 walikuwa wanapewa misaada ya silaha na US kumpiga Hitler. Vita ilipoisha tu wakageukana
 
Ogopa Iran anamilki silaha za Nuclear, bomu 1 tuu saudia majivu. Hata kiduku wa korea kaskazini anaogopeka kwa sababu ana silaha za Nuclear la sivyo mmarekani angemsambaratisha sekunde.

Marekani anao uwezo wa kumpiga Iran au North korea ila anachohofia ni madhara makubwa yatakayotokana na hao jamaa kulipua hayo manuclear yao.
Hakuna bomu lolote la nuclear hata liwe hydrogen bomb linaloweza kuisambaratisha Saudi Arabia. Ile ni nchi kubwa mno. Tsar bomba la Urusi haliwezi kufanya hivo hata uyalete kumi kama lile
 
Syria wanatumia S-200 na S-300 ambazo wamepewa mwaka jana kama si mwaka juzi. Ziko somehow outdated. Sasa tuje kwenye mizani. Syria inapigwa na Israel ambayo inatumia advanced technology. Tuseme simba kampiga chui. Sasa wajomba zangu Saudi Arabia wamepigwa na Houthi, ambayo kwanza haina wanajeshi bali ina 'wapiganaji' yaani wale wa kujitolea hawana vipimo vya daktari kuonesha wako fit for military service wala nini. Silaha zenyewe za kuungaunga, mi naamini hizo drone walizotumia zimefungwa kwa superglue[emoji23][emoji23] na nyaya za kufunga kwa mikono. Simba kapigwa na nguruwepori
Hiyo tunasema simba kapigwa na swala
 
Ndio maana nawapenda Israel
Marekani enzi za Bush alikuwa mtata siku hizi Trump muoga ndege yake imedunguliwa kashindwa fanya lolote
 
Ndio maana nawapenda Israel
Marekani enzi za Bush alikuwa mtata siku hizi Trump muoga ndege yake imedunguliwa kashindwa fanya lolote
Wakati bush anatawala Iran alikuwa sayari nyingine.
 
Saudi Arabia inajiaibisha sana eti waziri wa ulinzi wa nchi unakaa mbele ya television unalialia eti Iran ametushambulia huku ukionesha mabaki ya silaha hii ni aibu kubwa sana.
Kama waziri wa ulinzi unalialia wananchi wa kawaida wafanyaje??
 
Ndio maana nawapenda Israel
Marekani enzi za Bush alikuwa mtata siku hizi Trump muoga ndege yake imedunguliwa kashindwa fanya lolote
Wakat BUSH Alikua Rais Kulikua Hakuna Taifa la IRAN[emoji23][emoji23]

Mnatafta sababu zikipigwa kikumbo mnazkimbia

Poor US Pro[emoji14]
 
Urusi anamvuruga saudia kua silaha za marekani si lolote ili kujenga bifu kuvuruga soko la silaha la marekani.
Urusi yupo serious ila itamchukuuda sana kujenga mazingira ya biashara na Saudia! Saudia ana bifu na Iran wakati Iran ni mshirika wa Urusi na saudia ni mshirika wa marekani. ..
But anything can happen fitna zinaweza kutumika kama Ilizotumika kwa Turkey kununua mifumo ya ulinzi ya Russia.
Je Saudia ana udhubutu wa kumdindia Marekani na kubadili mshirika?
Ndio utakua mwisho wa utawala wa Al Saudi.
Mimi sina kabisa imani na wazungu awe U.S.A au Mrusi katika mambo ya biashara.
Nawaonaga lao moja tu, wameamua kuigawa dunia pande mbili ili wafanye biashara na kuendelea kuwatawala watu kifikra ila wao wakikaa pamoja wanaongea lugha.
 
Back
Top Bottom