Ama kweli Saudi Arabia si chochote kwa Iran

Hii bado ni sinema nzito kati ya saudia na USA ,kwangu Mimi sioni ubavu wa Irani kuhusika
Hata hao wa Houth wanaropoka tyu kwasababu huwezi tumia drone kwenye safari ya 1500Kms ni uongo hivyo wrote Saudia ,Irani na waHouth hawajui ni nani alifanya huko kitendo
USA wanajua ila wanawasingizia Irani
Saudia hajui ila anatafta wakumuangushia mzigo wa lawama
Nakubaliana na hii hoja! huenda hili tukio limepangwa na taifa fulani na lawama anatupiwa Iran makusudi ili kuichafua na kuifitinisha Iran mbele ya walimwengu.
 
Trump kaniudhi. Saudi kaniudhi
Wame kuudhi kivipi?hivi unadhani vita kati ya Iran na marekani ni vita rahisi kama unavyo fikiri?
Hivi unajua ni madhara gani yatatokea kwa dunia iwapo vita hivyo vitatokea ikiwemo na nchi yako au katika maisha yako ya kila siku?
Marekani sio wajinga kuepuka hivyo vita hivo, vita vitayafanya maisha yetu kuwa magumu sana kwa hiyo usishabikie kitu ambacho hujui madhara take.
 
Hahaha yaani iran kweli ni wababe kila siku wao tu na madrama ya vita

Mara sijui wame tungua drones. .Mara sijui wameteka meli. Mara wamelipua visima vya mafuta. .dahh!!!

Halafu Kuna pro America toka kwa mtogole wana ichukulia iran poa. ..like seriously! !!!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120]
Wame kuudhi kivipi?hivi unadhani vita kati ya Iran na marekani ni vita rahisi kama unavyo fikiri?
Hivi unajua ni madhara gani yatatokea kwa dunia iwapo vita hivyo vitatokea ikiwemo na nchi yako au katika maisha yako ya kila siku?
Marekani sio wajinga kuepuka hivyo vita hivo, vita vitayafanya maisha yetu kuwa magumu sana kwa hiyo usishabikie kitu ambacho hujui madhara take.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha yaani iran kweli ni wababe kila siku wao tu na madrama ya vita

Mara sijui wame tungua drones. .Mara sijui wameteka meli. Mara wamelipua visima vya mafuta. .dahh!!!

Halafu Kuna pro America toka kwa mtogole wana ichukulia iran poa. ..like seriously! !!!!!
 
Saudi Arabia imeiomba South Korea kuimarisha ulinzi wake wa anga.Hii inakuja mara baada ya uharibifu mkubwa uliofanywa kwenye kampuni lake kubwa la uchimbaji mafuta na gesi na drones ambazo zinasadikika hazikutoka Yemen,bali Iran.

Pamoja na mkwara mzito wa Saudi Arabia wa kuiambia dunia kuwa shambulizi hilo litajibiwa, mwisho wa siku Saudi Arabia inaonekana kutafuta msaada kwa washirika wake.

Wakati huohuo,Iran imeiambia Marekani kuwa kitendo chochote cha kuishambulia Iran kitajibiwa kuelekea kwenye vyanzo vya mashambulizi.

Yetu macho na masikio.

Saudi crown prince requests help from South Korea to strengthen air defenses: Yonhap

Saudi Arabia's crown prince Mohammed bin Salman has requested help from South Korea to strengthen the country's air defense system after attacks on two oil plants initially halved the country's oil production, South Korea's Yonhap news agency reported on Wednesday.

[emoji810] @ReutersWorldChannel [emoji810]

Iran tells U.S.: Response to any attack 'won't be limited to its source'

Iran's retaliation to any military attack will not be "limited to its source," Tehran said in an official note to Washington, Iran's semi-official ISNA news agency reported on Wednesday.

[emoji810] @ReutersWorldChannel [emoji810]

Sent from my TA-1024 using JamiiForums mobile app
Tukipata nchi 10.kama.Iran basi duniani adabu itakuwepo
 
Kwa hiyo pamoja na utajiri wote ule wa Saudi Arabia,bado si lolote kwa Iran.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama sio uwepo wa MAREKANI kuna nchi kama Saudia ingetawaliwa kikoloni na iran. Israel ingefutwa kwenye uso wa dunia na iran.

Iran alisema kuifuta israel ni ndani ya masaa 3 tuu.
 
Hahaha yaani iran kweli ni wababe kila siku wao tu na madrama ya vita

Mara sijui wame tungua drones. .Mara sijui wameteka meli. Mara wamelipua visima vya mafuta. .dahh!!!

Halafu Kuna pro America toka kwa mtogole wana ichukulia iran poa. ..like seriously! !!!!!

Ni aibu kununua silaha zote hizo kwa America na bado hawakuweza kuziona drones what a shame
Wanaambiwa kila siku USA wapo kwa maslahi tu
 
Wame kuudhi kivipi?hivi unadhani vita kati ya Iran na marekani ni vita rahisi kama unavyo fikiri?
Hivi unajua ni madhara gani yatatokea kwa dunia iwapo vita hivyo vitatokea ikiwemo na nchi yako au katika maisha yako ya kila siku?
Marekani sio wajinga kuepuka hivyo vita hivo, vita vitayafanya maisha yetu kuwa magumu sana kwa hiyo usishabikie kitu ambacho hujui madhara take.
Vita ya Marekani kwa Iraq ya kumtoa madarakani Sadam mwaka 2003, ilisababisha maisha magumu sana. Hata hapa Tz tulisaga meno sana. Hela ilikuwa ngumu sana
 
Ni aibu kununua silaha zote hizo kwa America na bado hawakuweza kuziona drones what a shame
Wanaambiwa kila siku USA wapo kwa maslahi tu
Kwa kweli ni Aibu kubwa tena sana. ..sio kwao tu .bali mpaka kwa hilo taifa linalo wauzia silaha na kuwalinda
 
Back
Top Bottom