STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,601
Haothi watoa onyo kwa UAE (dubai) yaiambia kama itaendelea na vita ya Yemen basi wanaweza wakaichafua dubai soon
Hivi unaijua mpaka ya Iran kijogorafia ?eneo Iran ambalo yupo ni lahisi sana kuleta madhara kwa uchumi wa dunia.Vita ya Marekani kwa Iraq ya kumtoa madarakani Sadam mwaka 2003, ilisababisha maisha magumu sana. Hata hapa Tz tulisaga meno sana. Hela ilikuwa ngumu sana
Aisee!!Haothi watoa onyo kwa UAE (dubai) yaiambia kama itaendelea na vita ya Yemen basi wanaweza wakaichafua dubai soon View attachment 1210867
Aisee!!
Tafuta passport ya Iran uhamie kabisaTrump kaniudhi. Saudi kaniudhi
Israel kila siku wanaingia kwenye anga ya syria yenye machuma hayo,wanafanya mashambulizi na kuondoka salama.Air diffence za uhakika ni za russia tu,wanunue s-400,the game changer,,alafu waone nini kitakatiza angani,wanafikiri mturuki mjinga,kuzitosa f-35,na kununua s-400?kujilinda ni bora kuliko kushambulia.
Kwa kweli ni Aibu kubwa tena sana. ..sio kwao tu .bali mpaka kwa hilo taifa linalo wauzia silaha na kuwalinda
Unamvizia mgoni wako kwa jirani wakati kwake inapafahamu?Israel kila siku wanaingia kwenye anga ya syria yenye machuma hayo,wanafanya mashambulizi na kuondoka salama.
Aliyefanya hilo tukio ni M South Africa.Hii bado ni sinema nzito kati ya saudia na USA ,kwangu Mimi sioni ubavu wa Irani kuhusika
Hata hao wa Houth wanaropoka tyu kwasababu huwezi tumia drone kwenye safari ya 1500Kms ni uongo hivyo wrote Saudia ,Irani na waHouth hawajui ni nani alifanya huko kitendo
USA wanajua ila wanawasingizia Irani
Saudia hajui ila anatafta wakumuangushia mzigo wa lawama
United Saudi of Arabia is copying United States of America to blame Iran.Bora siku izi waheshimiane, kila mtu amheshimu mwenzake, maana maonevu yamekua makubwa
Hahha achukue airdefence za urusi ili kupambana na Iran wakati Irani ni mwanachama mtiifu na kipenz cha urusi! ??Air diffence za uhakika ni za russia tu,wanunue s-400,the game changer,,alafu waone nini kitakatiza angani,wanafikiri mturuki mjinga,kuzitosa f-35,na kununua s-400?kujilinda ni bora kuliko kushambulia.
Hahha achukue airdefence za urusi ili kupambana na Iran wakati Irani ni mwanachama mtiifu na kipenz cha urusi! ??
Je Unategemea urusi atamlinda Saudia dhidi ya Iran wakati Saudia ana elements za kiMarekani?
Haaaaahaaaaa.Hakika mkuu,japo kuwa Putin ameishauri Saudi Arabia kununua mfumo wa ulinzi dhidi ya drones.Ukweli ni kuwa kila mbabe ana mtu wake hapo,yaani USA na Saudi Arabia, Russia na Iran.