kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,646
- 9,623
Kumbukaka Iran akipigwa na Marekani je washirika wake kama Urusi,China, na North Korea watakaa kimya? Je kama watamsaidia Iran je watatumia silaha zao za Nyuklia kumshambulia marekani?Trump now yuko bize na kumkandamiza China kiuchumi kwa kumwekea tariffs ili asiufikie uchumi wa USA
Na wakati huohuo USA akizidi kuimarisha uchumi wake ili kumpiga gap kubwa zaidi china ifikie wakati china asiweze kabisa kufikiria kumkuta USA.
Suala la Iran si kipaumbele kwa USA now,ni kiporo tu,kumbuka akiingia vitani na Iran atashitukia china imemkuta au kunwacha kiuchumi,so hataki hilo litokee kamwe.
Na hata Kama ikionekana kuna ulazima wa kuingia vitani na Iran basi USA atatumia mucus zote ili atleast ndani ya siku 5-7 vita iwe imekwisha,ata akiweza anamshushia muajemi nuclear kadhaa za kutosha mfululizo ampi muda wa kujibu,biashara itawakata Iran ndani ya siku chache tu.
Sema USA bado hajapata concrete reason ya kumchapa Iran
Watu wakumbuke USA wako bize Sana maana ni super power wale,kwa wakati mmoja huuhuu wanadeal na china,iran,north Korea,venezuela na saizi huko Hongkong wanaitwa na waandamanaji wakawasaidie,hawajui waanze na yupi na kumalizia wapi.
Wakiingia vitani china anawapiku kiuchumi,wakimwacha Iran ataendelea kudisturb oil supply chain ya dunia na kuwasumbua allies wa USA.
Kwaio USA now amepoa tu Kama hajui la kufanya vile kumbe anamchora tu mu iran na kupanga vizuri draft lake namna ya kudeal na wote hao.
Marekani akae akijua akifanya sambulizi la nyuklia na atajibiwa kwa nyuklia pia je yupo tayari?