Ama kweli Pesa ni kilainishi

Yeah!

Yana raha yake...

Hasa kama huo ukorofi unafika mpaka kitandani! πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ
Tatizo linarusha mateke sana🀣🀣
 
Kilicho nishangaza kwa mtoa mada ni jinsi alivyo tuma salam hapo mwisho,angejua kama hiyo ni hisani ametendewa baada ya kutuma kibunda asingeandika hata huo upuuzi humu
 
Mbinu za kivita hizo wewe...

Ushawahi kuona wapi adui akakubali kwemda makao makuu ya jeshi la mpinzani πŸ˜‡
Inategemea na adui. Ila huyu kwa namna alivyomuelezea toka mwanzo hakua na haja ya kuzunguka ivyo ni kumpeleka machinjioni kabisa(uwanja wa vita-Ukraine)
 
Kuna kipindi Fulani matangazo ya ISHI CAMPAIGNED
WALIKUA WANASEMA WATU HUAMBUKIZWA HIV/AIDS NA WATU WALIO WAPENDA SANA...
 
Mimi najuaga Shimba ya Buyenze Hana baya zaidi ya kupenda mikia na matukunyema yake,,,sikujua Kama tulicharuana sehemu πŸ˜‚πŸ˜‚
Dah!

Hili la kupenda mikia na matukunyema litanitafuna hapa JF sijui mpaka lini.

Hata siku nikiRIP utasikia jamaa alikuwa anapenda mikia dah sasa kaiacha! 😁😁😁

Itabidi nianze kampeni ya kujisafisha na kuji-brand upya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…