Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,900
Jamani ππππAcha kiburi basi,,,,kuwa na Moyo safi Kama wa Bei Elekezi ,,unapigwa chini miaka kadhaa Ila ukirudiwa ghafla unaamini unapendwaπ€£π€£π€£π€£π€£
Ila huyo dada ni mafia,kaombwa number insta katuma za mitandao miwili kabisaa ,π€
Daah mnashida kiasi hiki?Jeuri utakuwa nayo maana kuna wanaume wengine wamemkosa.
Kama all men are cheap, mfano Siku chris brown akija bongo jitoe ufahamu kamtongoze uone kama atakukubalia π€ JoannahHiyo number 4,
Ndio maana wanasema men are cheap,ukimtaka una order tu Kama burger unampata muda unaotaka,ni maharage ya mbeya etiππππ
Ni kweli kaliwa kimasihara huyu.
Mfano siku Justin Bieber akija bongo, mtongoze uone kama atakukubalia π Evelyn SaltHakunaga mwanaume anakataa tongozo wapo availabo siku 365 na robo ukimtakaπ
Huyu mwamba siyo last born kweli huyu? Hebu muulize maana si kwa kuzira huku πππKwa hiyo umempokea lodge siku tatu halafu hujamkula?π€π€π€π€
Kwa maneno mafupi ni kwamba ulizira sio?π
Muamala mnono.Ulimtumia shs ngapi????
Yani nitongoze mrembo?? HapanaMfano siku Justin Bieber akija bongo, mtongoze uone kama atakukubalia π Evelyn Salt
Asante kwa kuniogopaπ
Shimba ya Buyenze huyu hapa mwanaume jembeInshort we ni mnyonge tu hapo ume nunua hudumu amna cha ajabu
Hana neno ni binti mwema sana sanaMuone!
Kuna jamaa huko juu nimemuona anakwambia mapenzi siyo siasa...na kwa namna moja au nyingine ni lazima kununua mbususu maana hakuna mbususu ya bure hapa duniani. Naona kama ana pointi fulani hivi ama? π€Shimba ya Buyenze huyu hapa mwanaume jembe
Yaani nilichoshangaa ni jamaa kuona kawin,kamzungumzia kwa furaha sana as if kampata kigoli......halafu kamalizia kwa kusema Kama yupo humu ANAMPENDA SANA πππππππJamani ππππ
Binti alikuwa tu na shida iliyomfanya ajizime data na kusahau aliyokuwa akimtendea jamaa kwa miaka 10 iliyopita. Na aliposaidiwa akaona ampoze mwamba. Mwamba naye kwa usongo wa kutukanwa na kuitwa mbwa kwa miaka kumi (decade nzima) akaona isiwe shida. Nashangaa hajaelezea jinsi alivyopelekea moto kibabe maana usongo na malipizi ya decade nzima mtiti wake sipati picha πππ
Hana neno ni binti mwema sana sana
Ununue utumbo na kitimoto...ununue na mbusu su mkuu?Kuna jamaa huko juu nimemuona anakwambia mapenzi siyo siasa...na kwa namna moja au nyingine ni lazima kununua mbususu maana hakuna mbususu ya bure hapa duniani. Naona kama ana pointi fulani hivi ama? π€
Yeah!Ninapenda sana mademu makorofi yaani nayapedaga sana
Joannah π€£π€£π€£π€£