Ama kweli make ups zinatusitiri

Nani anataka presha, akhuuu! Na hapa dingi ndo katoa fotocopy coloured kabisaaa! Tena ole wake akinichoka aseme mie ugly, nitamcheka na kumuuliza 'unastuka saa hizi??'
Halooooo wifi yangu tena bro anakupenda the way ulivo....so naturally mmmmwaah

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Alafu apite njiani wamwambie umefanana na baba patachimbikaje? By the way me copy ya baba

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
hahahaaaaa wanakuaga na hasira mda wote sijui na ww unazo shost
 
mi Aunt nampenda coz hajichubui......
yap hajichubui ila anapenda kujiweka sop sop ila kuna saa anaacha so hatabiriki...kwakifupi hajali mi make ups....sio kama wema bila make ups hajatoka ndani jamani kha!
 
wema21.jpg wema222.jpg
View attachment 67490haya sasa hapo huyu naye sijui nani alimshauri mana naona kazidi sasa lol
 
Nani anataka presha, akhuuu! Na hapa dingi ndo katoa fotocopy coloured kabisaaa! Tena ole wake akinichoka aseme mie ugly, nitamcheka na kumuuliza 'unastuka saa hizi??'

Hahahahaha hakuchoki mtoto maashallah wewe mambo mwake mwake...eeh basi nsimalize kutoa sifa za urembo wako kaka asijeibiwa mali yake buree

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Hata kama angeweka makeup bado anaonekana mbovu tena wa kukongongoka.

Nafikiri ni wigi ndio limemletea mvutio wa kike tuwe wakweli hata Hapa Bongo Wigi limesaidia sana tena sana kwani asilimia kubwa za wanawake hawakubahatika kupata sura za kike kuingia mawigi kumewasaidia angalau wanatizamika
 
Hahahaaaa! Shosti! Make up muhimu sana, hata hawa wadada wa mujini wengi wasingekuwa na hela ya kujipodoa, mbona wasingeonekana!!!! Chagua mchumba asubuhi akiwa katoka kuamka!

Hawaachi muda uwaone wakiwa VIPODOZI-less! Tena hoyo ya alfajiri ndiyo karibu haiwezekani kabisaaa!

Chagua mchumba msibani; machozi na makamasi yanatoa make-up; walau waweza ona Genuine sura yake badala ya kujidanganya na haya makorokocho ya kufanya uso uwe kama mdoli!
 
wengine bila make up wanapendeza tu,ukizizoea sana,siku unapatwa na kama msiba,inabidi make up uiweke pembeni hapo ndio utalilia mengi,moja wapo ni kwa kutopaka hiyo make up
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom