Ama kweli make ups zinatusitiri

even mie napenda mwanamke kuwa natural tatizo wengi hawajikubal
 
Samahani kina Dada lakini, hivi na huko chini ikulu kuna make up?

Hahahahaha huko kunatakiwa kuwe kama kulivo maana urembo wake tu umejitosheleza lol

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 

.......................................000.jpg
.................................0000.jpg
............................0.JPG
The 38 year old ex-super model and TV host was spotted, sanz make-up, running along the Hudson river in New York City this morning
 

HAHAHAHAHAHAAH mekapu (make up) oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


huyu ni Tyra Banks......mweeeeee............

cheki shavu lilivyosawajika............



hapa kama anaomba maji............. utasema kibibi






halafu ana viugokoooooooooooooo, sijui na vyenyewe anavipakaga mekapu???!!!



lohhhhhhhhhhhhhhhhhh.......................



akitoka hapo fake hair, fake lashes, fake nail, make up unyunyu utamtaka....asante avon, mac, mary kay na wengineo...makeup oyeeeeeeeeeeeeeeeee walaaahiiiiiiiiii nitarudi naenda kupandika kope....


View attachment 67471 View attachment 67474 View attachment 67475

halafu mtu aniambie nisijipake......inahuuu.......

copy kwa : lara 1.. cacico... charminglady... sweetlady... Kongosho.. CUTE.... Erotica.... BADILI TABIA.... snowhite... Madame B.. farkhina.....na wengine wote......
 
huyu ni Tyra Banks......mweeeeee............

View attachment 67469
View attachment 67471View attachment 67475

halafu mtu aniambie nisijipake......inahuuu.......

copy kwa : lara 1.. cacico... charminglady... sweetlady... Kongosho.. CUTE.... Erotica.... BADILI TABIA.... snowhite... Madame B.. farkhina.....na wengine wote......

Haihuu babu weee!!
Ila Preta tuseme tu ule ukweli,
Ma-wig na Ma-weaving huwa yanatusitiri jamani.
Achilia mbali Kope sijui kucha,Nywele bhana kitu kingine.
 
Last edited by a moderator:
ngoja nitafute carolait mwee
kumbe mimi mzuri nikijiwezesha eeeh?
 
Hehehe, hivi Husninyo kabla haja-rip alikuachia zile nyusi zangu alizoazima eeh?

he he he.... Husninyo aliondoka na kucha zangu.....halafu nilikuwa nataka kubandika tips peke yake.......
zile nyusi zako sijui fake......nikiweka natoka machozi siku nzima.....huna nyingine....?
 
Last edited by a moderator:
tunazipaka unamaliza mwezi hujahongwa hata voucher! je tusipopaka kabisa??/ haaaaa Preta make-ups ni muhimu mwali! muhimu sanaaaaaa! watuwacheeeeeeeeee, miaka 30000, nani kanuna???
 
Last edited by a moderator:
Shoga weee wala usiiache...waweza kuchanganya na dawa ya madoa ili ung'ae zaidi lol..

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums

na atupie tupinch tuwili twa Silex400......atang'aajeeeee......
 
Wengine hatu'cocentrate na make'up!
We paka mi'make'ups mpaka mgongoni then naja kuingiza kisu yangu kunako ala yako, nakuta kama kisu nimekitumbukiza Mtera ! Kama sio Kihansi !
"Ala" bwanaa ndo mzima mpango!
 
inaonekana bila hizo make up ,nakuwa kama vile vinyago vya pale mwenge.. lol na mkipaka make up ya asili parachichi, papai na yai bichi mnakuwaje?

Na umkitoka out mnavyokuwa mmeupara jamaa akiopoa asubuhi lazima akutoroke hawezi amini kama ni wewe... na kama ulikandamiza na kujichubua tena ndio anaona msukule kabisaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom