Bwana Muki
Member
- Dec 13, 2018
- 13
- 9
Siwezi potea coz sijataja mtu mzee.Utapotea mkuu tukukute coco beach unaelea
Waswahili hawakukosea pale waliposema "Duniani wawili wawili", yaani binadamu tunafanana.
Lakini ulishawahi kujiuliza kama unaweza kufanana na viumbe hai wengine tofauti na binadamu?? Mtizame huyo samaki kisha nambie anafanana na nani.
View attachment 970040
Kama nidhamu inapimwa kwa kumpost Samaki sawa [emoji23][emoji23]Wewe huna adabu na ni Mtovu wa nidhamu
Mada ya udhalilishaji hii, @Mods futa
Ukipotea ndipo utakapojua kama umemtaja mtu au hukumtaja mtuSiwezi potea coz sijataja mtu mzee.
Watu ni wa ajabu sana yani.Amemdharirisha nani kwani.. yeye kaposti samaki