Am Torn. . .Mrejesho wa Zombie

watoto sina tabu kabisa kulea, kama wangu tu.
Tatizo ni kusema 'su'


Mzee mwenzangu kilichobaki kwetu siye wa zamani, ni kumfunda Kongosho jinsi ya kuishi na watoto wa kambo.

Awapende watoto wa mwanamke mwenzie.
 
Last edited by a moderator:
we Kongosho dia mbona unalegea hivyo kwa zombie wakati tayari kashaitwa baba wa watoto2 una mpango wa kuwalea hao watoto vizuri,una uhakika huyo zombie anakupenda kweli au anaact akupate iwe kwisha habari yako,tatu ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu angalia usiwe mmojawapo,nne sitaki kuamini ubongo wako umeshindwa kufanya maamuzi ila ninachokiona ni tamaa za vijizawadi vya zombie na kujipendekeza kwake ndo vinachukua attention yako,think thrice dia.
 

Hahahaha kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe mama...

 
umeuliza maswali ya tani 3 hapa.

Asante, ngoja niendelee kutafakari.

Nisije ruka nkojo bure.

Mwenyeji kazubaa sana tatizo.

 
Last edited by a moderator:
mmh, mapenzi si ni pamoja na kujipendekeza jamani?

Tamaa ya vizawadi sina hakika, kimatirio namzidi mbali mno, ila nachopendwa ni ule moyo wa 'sharing hata kama ana kidogo'

Mie napenda mtu anayeniletea Simla, wakati kwenye dressing table nina 'givenchy' zangu, inaonesha kujiamini na responsibility. Au wee zawadi hadi iwe gari?

 
Keshakuwa Zombiela naye. Tuandae michango tu.
BTW missed you too ASA.


Haya sasa ndiyo nimeyasema toka mwanzo.....

Kuangalia nyuma ni kutomtendea haki mdogo wetu Kongosho,

Bora mtumpe michango wafanye chap chap wahalalishe utamu wao!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
umeuliza maswali ya tani 3 hapa.

Asante, ngoja niendelee kutafakari.

Nisije ruka nkojo bure.

Mwenyeji kazubaa sana tatizo.
kuna watu wanazubaa hadi mdomo wanauacha wazi nzi anapita vuu bila hodi lakini ukimshitua anaufumba haraka,hebu jaribu kumkalisha kitako umweleze nn unataka na muweke wazi malengo yako umsikie anasema nn kabla ya kumkurupukia zombie wako huyo.
 

hakuna mtu asiyependa zawadi hata kama ni big G lakini tunaangalia future yako dia na huyo mtu,halafu asikwambie mtu hivyo vizawadi yawezekana ukimkubali hautaviona tena hawa wanaume waache kama walivyo sahizi atajipendekeza akulambe hadi unyayo subiri akutie kwapani utaisoma no.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…