Majerah anayokupa yana umiza nafsi za watu humu ndani, sasa tanagaza nia humu uone jinsi vijana wetu wanvyojali kazi zao..
Vjana Mpooo???
je kiafya kuna madhara yoyote kwa wadada.....just curious..!
mwanamke ana masterbate vp au mm mshamba??
Umalaya tu huo!
dada achana kabisa na hiyo tabia ina weza kukuathili psychological na mwisho utawaona wanaume sio kitu kabisa.pia sehemu zetu wadada ni rain sana sasa unapoingiza au kujisugua na kitu ambacho sio rasmi inaweza kukupelekea ukapata michubuko hivyo kuwa rahisi kupata magonjwa kama fungus.uti na mengineyo. mwisho wa siku uje kuambiwa unanuka.pia hiyo michubuko ikikauka unaweza pata makovu yatakayo sababisha kuziba kwasehemu hizo na kijiletea matatizo.ridhika na hali uliyonayo.kuwabize na kazi zako.shugulisha akili yako na mambo ya maana...mtazamo tuu..