Zamazamani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2008
- 1,903
- 828
Unaambiwa mwanaume si sura nzuri, mwanaume anatakiwa kujua mchezo wa kitandani, ajue kukupigisha gwaride na kukuridhisha. Na akiwa na mkwanja hapo napo ni security nyingine.
Unaambiwa mwanaume si sura nzuri, mwanaume anatakiwa kujua mchezo wa kitandani, ajue kukupigisha gwaride na kukuridhisha. Na akiwa na mkwanja hapo napo ni security nyingine.
Hivi unajua ina raha yake ikifanywa na mwanaume, hili ndilo nilionalo, yaaai hata kama yeye atakuwa nazo kiasi gani ila ikifanywa na mwanaume ina nguvu ya ajabu na ladha yake pia. Inatakiwa mtupatie na wala msikimbie jukumu hilo, ni lenu.
HuYU KATIKA DUNIA YA UHALISIA HAYUPO, NENDA KWA FUNDI SEREMALA KAMCHONGE AKUWEKE NDANI.
Jitukane mwenyewe! We si malaika mbwa wewe
we tafuta pesa kwa jasho lako mambo ya bure acha....
funguka akili masuala ya kutengemea mwanaume yameishapitwa na wakati.
Ningekua naweza dear ningeshafanya, maana hapa naweza kupanda za ndani ya nchi tu, na outing za kawaida nazimudu. But kuna ambao yaani nje ya nchi ni kama kawa alafu ukimuuliza nani ana lipia izo gharama, utaskia my bofriend, yeuwii ata si mchumba ake wala mume wake.
Hiyo nyota na mimi basi ininyookee uwiii am fade up
PesaUnataka pesa au mwanaume?
Sawa ahsanteUsikonde
Yaani nimekupenda mamii, ni ukweli usiopingika, sebene 0, mkwanja 0 sa ww wa nini????Unaambiwa mwanaume si sura nzuri, mwanaume anatakiwa kujua mchezo wa kitandani, ajue kukupigisha gwaride na kukuridhisha. Na akiwa na mkwanja hapo napo ni security nyingine.
Ahsante kwa ushauri dear, ila kuwa wazi ni nzuri maana kuna wanaume huwa wagumu kujiongeza tukijiachia hivi ndo anaguswaaaDaah asilimia 99 ya wanawake wanawaza kama wew sema we umekua open af usijionyeshe sana kwa wanaume kama uko after money sana