Am tired aisee!


hela tamu ni yako na jasho lako lakini hizi za kuhongwa huwa zinamwisho wake coz achumiaye juani hulia kivuni.Muombe Mungu lakini atakuapa unachoki.
 
I think it's different when a man foot the bill for a woman bruh. Haijalishi ni wapi, ya kitu gani, ama ni kiasi gani.

If she doesnt have that kind of man,there is no need to parade around looking desparate....she can take my advice and make plans with her man.

Halafu,unajua mabinti wanatishana sana...unakuta anajinunulia kitu au anajilipia dubai trip anamrusha mwenzie roho Paulo paid for this or tht!
 
Kama unapenda sana hela tengeneza za kwako...
 
Yaani hiyo kauli akiiongea mwanaume napata ukakasiiiii bora aiongee mwanamke aisee, daaaah kazi ipo.

wakati mwingine ni bora kuwasemea maana wao wapo kimya... wasisubiri vya kupewa watafute vyao...
 
Usione hivyo wanakuficha hawasemi ukweli shoga wengi wao wanao date nao ni either wanaume za watu wenye pesa zao ambao shida yao ni kupata wanawake wa kuwageuza nyuma. Au wauza madawa ya kulevya ambao hao wasichana nao wanakuwa punda wa kubebea hayo madawa hivyo wanakuwa ma partners in crime....usione kwa macho ukatamani fanya research kwanza...
 
Ila sikatai wapo tena sana tu... Jaribu kwenda sehemu classy classy wanakodhululia hasa mahotel makubwa na vaa vizuri yan ile utoke sexyyyy kiatu kirefu siunaelewa nenda especially weekend weekend hivi au mahali wanako party huko hata sijui wapi..me sina uzoefu...huo ni by Mange.
 
Utampenda au utapenda pesa zake? Wewe ni hatari kwa afya asee
 

Mamy Wang pole ila nakushaur ucpende saaana wanaume wenye Pesa ,penda mwanaume mtafutaji , mwenye future,anaejal,mwenyeupendo was dhati katika hayo mungu atafungua Milango,ila Kama Hana alafu haoneshi juhuudi za kuchakarka Kama mwanaume hapo kimbia atalaza njaa watoto
 

Umenena vyema ,pia awe anakumbuka karambo jaman uwiiiii
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahaha....huyu Mndengereko wa Rufiji mwisho wake Kisiju tu!..anajichetua tu humu mitandaoni!....empty-headed,hana hata marketing strategy!!
Muangalizi wa kimataifa na natangulia kule kwenye michano arifu!

Mmmmnh naona umeamua kumfungukia muonee huruma jaman
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…