am sory boy

am sory boy

nikiwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
775
Reaction score
345
wherever ur are,najua nilikudissapoint baada ya kukutolea nje kukukopesha that money,4sure siwezi kumpa mwanaume pesa especialy sm1 i want 2have future with,am real sorry n am missing u come back soon,hope u wil pass through it
 
Mambo ya kizamani hayo. Kama muda wa uhusiano ni wa kutosha kwa nini usimsaidie incase amekwama? Tatizo wanawake mnapenda msaidiwe ninyi tu! Labda km wewe ni Mpalestina wa Machame Ala!
 
Rkyaruzi.....Renard Kyaruz?
 
hapana mimi c mpalestina,ila nikimpa tu pesa heshima yangu kwake itatoweka nitamdharau sitaki hlo litokee thats y nikamnyima
Mambo ya kizamani hayo.
Kama muda wa uhusiano ni wa kutosha kwa nini usimsaidie incase amekwama?
Tatizo wanawake mnapenda msaidiwe ninyi tu! Labda km wewe ni Mpalestina
wa Machame Ala!
 
hapana mimi c mpalestina,ila nikimpa tu pesa heshima yangu kwake itatoweka nitamdharau sitaki hlo litokee thats y nikamnyima

Kwani anaeomba mkopo huwa anajivunjia heshima..!! Jee huoni kama ungemkopesha basi angalikuheshimu sana na asinge kua tayari kukuacha kwani wewe ni msaada kwake..!! Au wewe unapenda uheshimu tu lakini hutaki kuheshimiwa..??
 
dont get me wrong,wajua vijana wa kileo ukimzoesha kumpa fedha anabweteka na akishajua unamake zaid yake atakuja kukuachia jukumu la kulea family mama peke yako,so nataka from the beggng afahamu yeye ni baba head of family na provider
Kwani anaeomba mkopo huwa
anajivunjia heshima..!! Jee huoni kama ungemkopesha basi angalikuheshimu
sana na asinge kua tayari kukuacha kwani wewe ni msaada kwake..!! Au
wewe unapenda uheshimu tu lakini hutaki kuheshimiwa..??
 
wherever ur are,najua nilikudissapoint baada ya kukutolea nje kukukopesha that money,4sure siwezi kumpa mwanaume pesa especialy sm1 i want 2have future with,am real sorry n am missing u come back soon,hope u wil pass through it

JF is never boring sosi mzee The Boss
 
dont get me wrong,wajua vijana wa kileo ukimzoesha kumpa fedha anabweteka na akishajua unamake zaid yake atakuja kukuachia jukumu la kulea family mama peke yako,so nataka from the beggng afahamu yeye ni baba head of family na provider

acha stori, cha msingi hapa ni kwamba wewe ni bahili na una roho ya choyo, period. hayo mengine yooote blah blah tu, acha wenzako wakusaidie. hivi, umewahi hata kumpa japo zawadi ndogo tu? jitafakari, nani kasema wewe tu ndio umeumbwa ili usaidiwe, wakisaidiwa wengine wadharauliwe?
 
Mambo ya kizamani hayo. Kama muda wa uhusiano ni wa kutosha kwa nini usimsaidie incase amekwama? Tatizo wanawake mnapenda msaidiwe ninyi tu! Labda km wewe ni Mpalestina wa Machame Ala!

huwa wakati mwingine naona hii beijing confe. walikosea sana hasa kutokuzungumzia swala la mshiko kwenye ugawaji na matumizi yake pia..
 
hajawahi nipa chochote wala sijawahi mwomba lolote as long as hanihudumii sioni haja kumpa pesa zangu
acha stori, cha msingi
hapa ni kwamba wewe ni bahili na una roho ya choyo, period. hayo mengine
yooote blah blah tu, acha wenzako wakusaidie. hivi, umewahi hata kumpa
japo zawadi ndogo tu? jitafakari, nani kasema wewe tu ndio umeumbwa ili
usaidiwe, wakisaidiwa wengine wadharauliwe?
 
mwanaume aplay role yake as a man na women waplay role zao,mbona huwa hamuwasaidii wake zenu kufua ama kupika,ila mwataka jukumu lenu msaidiwe na wanawake,nope i wil never do that
huwa wakati mwingine
naona hii beijing confe. walikosea sana hasa kutokuzungumzia swala la
mshiko kwenye ugawaji na matumizi yake pia..
 
aliona wewe ni saccos maana kama angekuwa akuoni kama ni saccos asingekuwa dissapointed wewe kushindwa kumkopesha maana wewe si bank.

pengine hukumpa sababu za msingi.
 
my money is mine n no man wil ever touch ma money

Jitahdi usiolewa hapo ndo zako ztabak kuwa zako,ila kama unategemea kuolewa humu bongo kwa tabia hyo ya chako chako,changu chetu,kaz unayo,atakayekuoa talaka ikae mfuku wa nyuma kama red card,kwan hapo itatoka mda c mrefu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom