Haitakiwi uwe ni mchezo wa kila siku, bila shaka atakua anakopa siku moja moja, vinginevyo huyo mwenza wako hana kitu, ukubali tu kubeba majukumu, au utafute mkwasi..dont get me wrong,wajua vijana wa kileo ukimzoesha kumpa fedha anabweteka na akishajua unamake zaid yake atakuja kukuachia jukumu la kulea family mama peke yako,so nataka from the beggng afahamu yeye ni baba head of family na provider
Haitakiwi uwe ni mchezo wa
kila siku, bila shaka atakua anakopa siku moja moja, vinginevyo huyo
mwenza wako hana kitu, ukubali tu kubeba majukumu, au utafute
mkwasi..
NA wewe mleta mada unataka tujadili wewe kumuomba msamaha boy wako?Poorest topic I have ever seen.
Si umtumie inbox JF,fb,tweeter,BBM,mocospace etc ama kwenye private mobile phone number.
Sasa mtu unaemzidi kipato si majanga hayo..!! kila siku atajiona inferior labda muwe mnashare matumizi hasa hasa home expences, halafu yeye abaki na mambo mengine, ada za shule, nguo n.k.no he has a job just like me sema namzidi kipato,it was abt 2days b4 apate salary that y nikachuna,all in all nahitaji mwanaume kwa maana ya family protector na provider,akishindwa hilo hafai kuwa mwenzi wangu
Sasa mtu unaemzidi kipato
si majanga hayo..!! kila siku atajiona inferior labda muwe mnashare
matumizi hasa hasa home expences, halafu yeye abaki na mambo mengine,
ada za shule, nguo n.k.
Ok! sasa nimekupata vilivyo mkuu, hapo kuna mwelekeo mzuri tu, kama ni hivyo basi best wishes!hatujafika huko kwenye kuwa na family,he is smart young advocate with potential najua atakuja kumake zaidi yangu hapo baadae thats y nataka atake his part as a man this early wanasema the end justify the means
Yeah! thats good idea, lakini msije mkamaliza kila kitu teh teh.....thanx man ntamtafuta this eid tuyamalize gnite
..Hivi kumbe nakosea kuazima fweza toka kwa mai switi wangu eh!
..Lakini hebu tuwe siriaz kidogo...hivi kusaidiana wakati wa urafiki kuna ubaya wowote, mbona mnakuwa na fikra potofu? kwani kijana hawezi kupigika, au yeye siku zote lazma awe na pesa?
huyo ndo mister prezidamkuu hivi ni kweli hayo maneno kwenye signature yako aliyasema mukulu prezida wa tz???
changu changu chako chako, huwezi ku-bond nusu nusu kama unahitaji a working relationship. ili uhusiano uwe na future ni zaidi ya kukutana kwenye uwanja wa seremala pekee. nishaona watu wenye pesa zao wakilia kwa sauti ndani ya magari yao ya kifahari, any way huwa wanapandisha vioo.my money is mine n no man wil ever touch ma money
wherever ur are,najua nilikudissapoint baada ya kukutolea nje kukukopesha that money,4sure siwezi kumpa mwanaume pesa especialy sm1 i want 2have future with,am real sorry n am missing u come back soon,hope u wil pass through it
duh kaazi kwelikweli!! hufai wewe kwa lulumagia wala kwa kutoezamy money is mine n no man wil ever touch ma money