ticah mi nimesalute! sm people are just lucky, very lucky! unapendwa mpaka u feel it, the way i knw guys huwa hawaombi misamaha, YM's lady ana bahati! lolest!Erotica is always Erotically Correct! teh teh
ticah mi nimesalute! sm people are just lucky, very lucky! unapendwa mpaka u feel it, the way i knw guys huwa hawaombi misamaha, YM's lady ana bahati! lolest!
umeonaeeeeehhhh nahisi neema imeanza kunishukia! naomba dua langu liwe la kweli, 'M' wangu ajue kuwa namzimika, yaani nampenda huyu kaka ticah, acha kabisa, yumo humuhumu jei efu, ila simwambii NG'O! Nimeapa! acha tu niendelee kuumia! atakuja tu kujua jinsi ambavyo NAMPENDA lolest, au ticah nikupm unifundishe kufake, ingenisaidia sana!hivi wanionaje dear? bahati inakuwa generated hapa, kitendo cha mie
kuongea nawewe tayari nyingine nimekupangusia. teh teh
umeonaeeeeehhhh nahisi neema imeanza kunishukia! naomba dua langu liwe la kweli, 'M' wangu ajue kuwa namzimika, yaani nampenda huyu kaka ticah, acha kabisa, yumo humuhumu jei efu, ila simwambii NG'O! Nimeapa! acha tu niendelee kuumia! atakuja tu kujua jinsi ambavyo NAMPENDA lolest, au ticah nikupm unifundishe kufake, ingenisaidia sana!
usemayo ni kweli kabisa @Mr. Rocky napenda sana wanaume ambao wapo wawazi kama wewe.
umeonaeeeeehhhh nahisi neema imeanza kunishukia! naomba dua langu liwe la kweli, 'M' wangu ajue kuwa namzimika, yaani nampenda huyu kaka ticah, acha kabisa, yumo humuhumu jei efu, ila simwambii NG'O! Nimeapa! acha tu niendelee kuumia! atakuja tu kujua jinsi ambavyo NAMPENDA lolest, au ticah nikupm unifundishe kufake, ingenisaidia sana!
cacico nimeipenda hii
nikuulize hivi anajua kuwa unampenda hivyo au hajajua
na anajua thamani ya penzi lako au bado hajui
anatakiw akujua thamani ya upendo wake na namna unavyompenda
Mr Rocky, blv me namuenvy kweli huyo dada!! natamani 'M' Wangu anijue then anipm, uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii nitadata kwa kihoro! kweli kupenda is very bad!Najijua udhaifu wangu mkuu Young_ Master na ilivyo ngumu kwamwanaume kukubali na kusema yes hapa nina kosa na kukubali kujishusha kuomba msamaha
Ndo maana nasema huyo aliyetumiwa hayo maombi ashukuru sana kumpata mtu mwanaume ambaye amekubali kujishusha na kuomba msamaha hata pale ambapo yeye ndio amefanya kosa na kutoshift blame kama ilivyo kawaida
Najijua udhaifu wangu mkuu Young_ Master na ilivyo ngumu kwamwanaume kukubali na kusema yes hapa nina kosa na kukubali kujishusha kuomba msamaha
Ndo maana nasema huyo aliyetumiwa hayo maombi ashukuru sana kumpata mtu mwanaume ambaye amekubali kujishusha na kuomba msamaha hata pale ambapo yeye ndio amefanya kosa na kutoshift blame kama ilivyo kawaida
unafanya maksudi ili usamehe si ulishamehewa mara ya kwanza? af unarudia tena!kufanya kosa si kosa,kosa kurudia kosa
Kumangana ndio nini Kimweli?
lipotezee hilo neno hata si zuri kuna watu wana ukichaa watu wapo chit chat yeye anaruka na tusi
lipotezee hilo neno hata si zuri kuna watu wana ukichaa watu wapo chit chat yeye anaruka na tusi
Naomba unieleze The secretary ili nijue yake maana mimi sielewi. kama huwezi kunieleza hapa basi naomba unieleze hata kwa PM.
kwenye line nakuunga mkono na miguu100%Mhhh ni wachache wenye kuyatamka hayo na yakawa yametoka moyoni mwao
Wengi wetu wanaume ni nadra kuwez akuyatamka hayo na yakawa yametoka moyoni
Ana kila sababu ya kufurahia maombo yako ya msamaha