Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
Kaunga Hasira zangu ndio zilizopelekea kusababisha maumivu moyoni mwake. Ingawa alikuwa amenikosea but hasira zangu zilivuka mpaka. I will try to control my anger ili hili lisitokee tena.Don't promise, for surely knowingly or not u will surely hurt her!
lazma atakusamehe, na ukute alishakusamehe kabla hata hujamuomba msamaha! kwenye mapenzi ya kweli hakunaga kupimana! am envying u guys, jamani 'M' wangu yupo wp aje afundwe huku?? ila nampenda 'M' wangu!

yupo njiani yu aja! asubuhi umetupa mambo ya goodmorning ma love, sasa hivi hayo! mmhhh am hapy i joined jf, full kufundana, yaani hapa nabeba tu maujuzi! lakini jamani kupenda kubaya mmmhhhh! unaweza ukahisi wewe ndiye mwenye mikosi, kudos YM!Mlete kwangu nije nimfunde ili akupende vyema.
nimeona best! hehehe ticah unanipa raha, isijekuwa na huku nako unafake! utaja uwawa! shaurilo!
Mhhh ni wachache wenye kuyatamka hayo na yakawa yametoka moyoni mwao
Wengi wetu wanaume ni nadra kuwez akuyatamka hayo na yakawa yametoka moyoni
Ana kila sababu ya kufurahia maombo yako ya msamaha
Nilikuwa najiuliza txt ya kumuomba msamaha mpenzi wangu,nashukuru for you messange Young_Master itabidi ni copy then ni paste ili kumutumia bibie.
umeona eeh! ila maadam tumeumbwa kuamini, basi no alternative but to believe that person, and belv that its from his heart!Mhhh ni wachache wenye kuyatamka hayo na yakawa yametoka moyoni mwao
Wengi wetu wanaume ni nadra kuwez akuyatamka hayo na yakawa yametoka moyoni
Ana kila sababu ya kufurahia maombo yako ya msamaha
Teh Teh Teh!!! Ama kweli kufa kufaana. You are welcome elly_black