Am so famous!

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Every wea I go, they point on me. Everythng I do they know itz me....hii ni ngoma mpya ya Juma Mohamed Mchopanga aka mchox aka mo-techniques aka mo-fleva aka mbakiaji aka J-mo>>hii ngoma ni kali wadau, majani kasimama vilivyo ktk chorus na Jmo inaonekana kakua, cjamsikia akicfia bangi, japo anadai kagonga warembo weng zaid ya copy za Mamu.
 
Hiki kichwa nakikubali sana.

Tatizo huyu jama hana ngekewa ya kukubalika.
 
Dah, Huyu Jamaa Ki Ukweli roho huwa inaniuma sana kuona hafanikiwi wakati anakipaji kikubwa sana. Yaani huwa namkubali sana maana mashairi yake ni ya ukweli mtupu mfano Majukumu Au Maisha Ya Bodingi.
 
Nilikuwa najiuliza...kumbe ni bongo fleva!! Wengine ni vibabu hazipandi sana hizo
 
anakwambia..sio ule wa ZITTO umaarufu wa kisiasa au wa Manji na Bakhressa umaarufu wa pesa..mi nimeanza na nyumba kwanza gari zitafuata..wakishindwa kuongea na mshua..haha hahaahhaa!!!! jamaa is one of my concise M.C since way back na kwa hasira hzi alizokuj nazo nahisi yulo njiani kusepa km mshkaji wke SOLO THANG..Coz bongo hawampi tuzo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom