vivian are you serious? Kwa hali unavyo isema inaonekana ndio boss wako anataka iwe hivo. But ukweli ni kwamba hana sababu yoyote ya kukufukuza so anakujengea mazingira magumu ili uondoke. Ukiondoka he will win and you will lose.
If you are not a loser and not a quitter then stand on your fight and shout it loud kwamba you are there to stay.
Kwanza kabisa soma upya job descriotion yako ujue kazi yako nini na unareport kwa nani. Pili soma performance evaluation yenu inasemaje. Maana asije kusema baadae kua alikupa kazi ukakataa. Tatu hakikisha kila kazi ambayo ni yako unafanya wewe. Akipewa mngine mwandikie email kusema kua umeshangaa kazi yako anapewa mngine (kutunza ushahidi).
Then just live your life ulienda hapo kutafuta kazi na sio marafiki. Kama kazi ipo chapa kazi. Kama hakuna be innovative and creative, tafuta namna gani unaweza kuisaidia kamouni yenu kuendelea.
But all in all don't quit and don't allow mtu yoyote to let you down. As one once said if you want to be happy just be. Huko kua down ni sababu umeamua.