Mungu yuko busy zaidi yako!
Mamboz
Poaz . . .
Na ubongo umeenda wapi?
Watu kwa fix!!
Maendeleoz yakojez
Hahahahaaa ndio hapi sasa hata sijui niseme umehamua mgongoni lol
Maendeleoz mazuriz
Hahahahaaa halafu umeona nachapia sana eeeh lol haka kausingizi sijui kametumwa na Remmy kanibanie kwako lol nisije andika kichina bureNimekubamba sijakubamba,
Ulidhani mi sitakushika . . mi mshamba.
Ona sasa mimi nimeshakukamata,
Nimekubamba sijakubamba???!!!!
LOL
Hapo rahaz aiseez lolz.
hapa niko na bonge la usingizi.
Leo mkesha huko au ratiba ikoje
Kweli wahi kulala aisee.Na kweli una usingizi kijana.
Kalale upumzike.
Hakeshi mtu leo, nitajimuvuzisha kukitanda baadaye kidogo!
Kweli wahi kulala aisee.
Siku hizi sigusi pombe kiukweli kabisaaa
Nilikuwa nacheck mpira tu nikijidunga zangu fanta orange