Am not sure . . . . Nipe Macho Nione!

Am not sure . . . . Nipe Macho Nione!

Eti najishaua???
Kwa hali hii nilonayo ndo unataka utake advantage . . . . imekula kwako!!

Hahahaaaa kwangu ile mara ngapi Kipipi ?
Halafu nimekuja na juice hebu kunywa kwanza.

Btw ushakula chakula cha mchana?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa kwangu ile mara ngapi Kipipi ?
Halafu nimekuja na juice hebu kunywa kwanza.

Btw ushakula chakula cha mchana?

Haina kikomo . . .itaendelea kula kwako mpaka ukamilifu wa dahari! lol

Sijala na sina mpango wa kula.
Hapa nakunywa dawa na juisi mpaka jioni . . . .sina appetite!
 
Kwa upande wangu mwaka uliisha mara tu siku ya Christmas ilivyopita.
Namshukuru Mungu nilivuka salama japo kiafya siko mzima sana.

Ila leo nimekaa naona kuna huzuni inaniandama,
Nimejaribu kutafakari sijapata jibu.
Lakini pia nimefikiria labda kuna kitu sijatenda/ sijawatendea vyema wenzangu . . .
au yawezekana nimekwazika . . . . . napo sina uhakika!

Hivyo basi . . . kutokana na hii hali, huu wimbo umekuwa ni important sana kwangu siku ya leo,
kwa hivyo nau dedicate na kwa yeyote utakaemgusa pia.



All along with love.
Be Blessed!
Kipipi


vipi kuumwa sis?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom