Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Kwa upande wangu mwaka uliisha mara tu siku ya Christmas ilivyopita.
Namshukuru Mungu nilivuka salama japo kiafya siko mzima sana.
Ila leo nimekaa naona kuna huzuni inaniandama,
Nimejaribu kutafakari sijapata jibu.
Lakini pia nimefikiria labda kuna kitu sijatenda/ sijawatendea vyema wenzangu . . .
au yawezekana nimekwazika . . . . . napo sina uhakika!
Hivyo basi . . . kutokana na hii hali, huu wimbo umekuwa ni important sana kwangu siku ya leo,
kwa hivyo nau dedicate na kwa yeyote utakaemgusa pia.
All along with love.
Be Blessed!
Kipipi

Last edited by a moderator: