Taja Jin lako la kweli inbox nikupe tibaKi ukweli natamani sana marafiki wa kike but siko comfortable kabisa .... tangu ukuaji wangu nipo comfortable sana na jinsia ya kiume
Ki ukweli i have some life times friends ambao ninaweza fanya chochote kusaidiana ila wakiume
it hapens nimeolewa na wao wameoa na maisha yamebadilika ....nimewacutoff for the past 10yrs
the thing is hata mizunguko yangu ya sasa hivi uzeeni ni rahisi mimi kumuamini rafiki wa kiume hata kwa pesa ila sio wa kike jambo hilo linanitesa sana
I had two friends wa kike zamani sana sio kwamba walinipa trauma ila sikuona ule upendo wa kweli kama kwa wanaume.. ...sizungumzii mapenzi kabisa
urafiki wa kawaida kabisa
Jamani nahitaji marafiki wa kike kwa kweli
i dont know if its too late for that ila dm yangu iko wazi
30yrs and above..
sitaki mapovu kwenye replies...
i only reply dm
Naam, ukitaka nyingi nasaba utapata mingi misiba.Marafiki wana faida gani sasa
Tena wanawake wanoko roho mbaya chuki wivu 🚮
Ukiacha wa ku engage mitandaoni sina rafiki wa kike njee ya JF na sihitaji pia
Kila la kheri kwako dear
KE mnaoneaga wivu sana tena wivu wa kijinga na mibichwa komwe yenu hiyoSisi mademu ni masnichi. Unakuta demu mwenzako anayaonea wivu makebo yako.
Na hasa sisi mademu wa kitanganyika. Ukijumlisha na umbumbumbu tulionao basi ni tafrani.
Hili jambo liangaliwe vizuri na serikali.
Exactly mkuuNaam, ukitaka nyingi nasaba utapata mingi misiba.
Na Mimi nije?Ki ukweli natamani sana marafiki wa kike but siko comfortable kabisa .... tangu ukuaji wangu nipo comfortable sana na jinsia ya kiume
Ki ukweli i have some life times friends ambao ninaweza fanya chochote kusaidiana ila wakiume
it hapens nimeolewa na wao wameoa na maisha yamebadilika ....nimewacutoff for the past 10yrs
the thing is hata mizunguko yangu ya sasa hivi uzeeni ni rahisi mimi kumuamini rafiki wa kiume hata kwa pesa ila sio wa kike jambo hilo linanitesa sana
I had two friends wa kike zamani sana sio kwamba walinipa trauma ila sikuona ule upendo wa kweli kama kwa wanaume.. ...sizungumzii mapenzi kabisa
urafiki wa kawaida kabisa
Jamani nahitaji marafiki wa kike kwa kweli
i dont know if its too late for that ila dm yangu iko wazi
30yrs and above..
sitaki mapovu kwenye replies...
i only reply dm
Wala usijilamu,ndivyo ulivyoumbwa na Mungu,na mara nyingi mnakuwa na Tabia thabiti,yaani mmenyooka hamna majungu!Huoni ni Jambo jema?Ki ukweli natamani sana marafiki wa kike but siko comfortable kabisa .... tangu ukuaji wangu nipo comfortable sana na jinsia ya kiume
Ki ukweli i have some life times friends ambao ninaweza fanya chochote kusaidiana ila wakiume
it hapens nimeolewa na wao wameoa na maisha yamebadilika ....nimewacutoff for the past 10yrs
the thing is hata mizunguko yangu ya sasa hivi uzeeni ni rahisi mimi kumuamini rafiki wa kiume hata kwa pesa ila sio wa kike jambo hilo linanitesa sana
I had two friends wa kike zamani sana sio kwamba walinipa trauma ila sikuona ule upendo wa kweli kama kwa wanaume.. ...sizungumzii mapenzi kabisa
urafiki wa kawaida kabisa
Jamani nahitaji marafiki wa kike kwa kweli
i dont know if its too late for that ila dm yangu iko wazi
30yrs and above..
sitaki mapovu kwenye replies...
i only reply dm
PPrecisely! You nailed everything mkuu!Inakuaje mtu anatafuta marafiki?
Kwani urafiki si unatokea tu pasipo kuweka tangazo kama la kazi...
Huna marafiki kwa sababu huwezi kuwa rafiki kwa wengine (Hard truth)...
Jitolee kuwa rafikiye basi !!
Anataka wa kike, nakutoa wewe hapo, uwe rafiki yake...Jitolee kuwa rafikiye basi !!
Marafiki Wakike jau sana bora akuchukue weye wakiume tu utamfaa kwamambo mengi sanaAnataka wa kike, nakutoa wewe hapo, uwe rafiki yake...