masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,458
- 19,654
Amen...Elder sister
Wateja wamekosekana...
Ila....Sisi mademu ni masnichi. Unakuta demu mwenzako anayaonea wivu makebo yako.
Na hasa sisi mademu wa kitanganyika. Ukijumlisha na umbumbumbu tulionao basi ni tafrani.
Hili jambo liangaliwe vizuri na serikali.
Ahahaha nini ankaliIla....
Wewe kama Mke wangu 100%Ki ukweli natamani sana marafiki wa kike but siko comfortable kabisa .... tangu ukuaji wangu nipo comfortable sana na jinsia ya kiume
Dash! serikali tenaSisi mademu ni masnichi. Unakuta demu mwenzako anayaonea wivu makebo yako.
Na hasa sisi mademu wa kitanganyika. Ukijumlisha na umbumbumbu tulionao basi ni tafrani.
Hili jambo liangaliwe vizuri na serikali.
Mbona umecomment kwa hasira hivi?Marafiki wana faida gani sasa
Tena wanawake wanoko roho mbaya chuki wivu ๐ฎ
Ukiacha wa ku engage mitandaoni sina rafiki wa kike njee ya JF na sihitaji pia
Kila la kheri kwako dear
Ndio maana nimeamua niolewe kabisa, marafiki tupa kule.Marafiki wana faida gani sasa
Tena wanawake wanoko roho mbaya chuki wivu ๐ฎ
Ukiacha wa ku engage mitandaoni sina rafiki wa kike njee ya JF na sihitaji pia
Kila la kheri kwako dear
๐ ๐ ๐ kaa kivyako uta enjoy sanaNdio maana nimeamua niolewe kabisa, marafiki tupa kule.
Kila siku mme wangu ananiuliza hivi wewe huna rafiki? Nikamwambia akuhh sitaki shida bibi!
Niko zangu kivyangu tyuuu!
Kumbe umeolewa!Ndio maana nimeamua niolewe kabisa, marafiki tupa kule.
Kila siku mme wangu ananiuliza hivi wewe huna rafiki? Nikamwambia akuhh sitaki shida bibi!
Niko zangu kivyangu tyuuu!
Mbona kama ana miguu ya kiume au nimechanganya..๐ ๐ ๐ kaa kivyako uta enjoy sana
Ewe bicwa komwe