evance hubert
Member
- Oct 14, 2012
- 36
- 20
How is it lyk jukwani hapa guys coz its da 1st tym.
karibu sana ila tahadhari ukiona ngedere mjini jua kaletwa na mwenyewe,ni marufuku kutongoza humu chichat,if you do,it will upon your own peril! Gotcha?????
Karibu na ji-feel free ila heshimu members wa huku.
karibu sana ila tahadhari ukiona ngedere mjini jua kaletwa na mwenyewe,ni marufuku kutongoza humu chichat,if you do,it will upon your own peril! Gotcha?????
Hujambo Hubby wangu?
Am real msng u!
Usiku mzima wa jana nimekuota wewe jamani.
Penda jf Kama unavyopenda CCM.Karibu sana.
Hujambo Hubby wangu?
Am real msng u!
Usiku mzima wa jana nimekuota wewe jamani.
Hujambo Hubby wangu?
Am real msng u!
Usiku mzima wa jana nimekuota wewe jamani.
unasemaje? Ruttashobolwa anayajua haya?Hujambo Hubby wangu?
Am real msng u!
Usiku mzima wa jana nimekuota wewe jamani.
pole mkuu,sina la kuongeza.????????????????????????????
Flagmento delicto( things speak to it self.
I am fine kabisa ila nimeongeza familia yetu sasa kuna Blaki Womani na Preta kwenye familia yetu. Nipe hongera basi YFU..:A S 465::juggle::rant::smash: