Am looking for Noah old model unregister

Am looking for Noah old model unregister

Osaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,944
Reaction score
810
Natafuta Noah toleo la zamani isiyosajiliwa nikimaanisha iliyoingia karibuni kutoka nje bajeti yangu ni 10m, mwenye nayo atupie namba yake nitampigia
 
Unregistered ziko japan wapigie utapata tu
 
mkuu kama huna cha kujibu pita kimya tu
 
Kuna babu mmoja anajiita Le Mutuz,anakaa posta kwenye kota za NHC,anauza Noah old model,mcheki fasta anashida sana na hela ukimpa hata Laki 2 anakuachia.
 
Back
Top Bottom