BAGAH
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 4,523
- 1,060
hahah thanti BAGAH:.......DU ngoja nijidadicate na ka wimbo ka Linah..... Angalau sasa ninafuraaa. Turururu, hata yale mawazo yatakwishaaa turururuuu. Lol
niitikieje vile??
hahah thanti BAGAH:.......DU ngoja nijidadicate na ka wimbo ka Linah..... Angalau sasa ninafuraaa. Turururu, hata yale mawazo yatakwishaaa turururuuu. Lol
Kwahyo BAGAH analeta kiwingu coz hana shemeji yetu.? Haya sasa BAGAH kazi kwako.
Hahahaaaa we itikia tuniitikieje vile??
Hahahaaaa dogo hongera sana kwa kupata mwenza..........mtally ndugu yetu ricky hajiamini na ndoa yake..sijui ni mke wa kupewa?so um a THREAT kwake!..
Mmmmh hapa mie Ndoo kidumu akuuu
Hahahaaaa dogo hongera sana kwa kupata mwenza..........
Hahahaaa so tuanze vikao ????
Hahhaaaa dah Bi Nyako kachoka kuwa mpweke....asante...siku ya leo ni ya neema kwangu...nimeamka na bahati yangu aloo!..bi nyako nyavuni!
Hahahaaa acha mzchezo aisee maaana km hutaki ndoa ifanyike jaribu uone....hebu tulia braza...usidhani hii ni ile ndoa ya Jg...kwangu hulambi kitu...unasubiri kutajirikia kwenye kamati za harusi za wenzio akati ww mwenyewe umefungia ndoa bomani...hamna kikao hapa...tulia tu na ukipata kadi shukuru...hata kama ww ni braza angu,mm ndo msemaji mkuu!...
niitikieje vile??
Bi Nyako ebu naomba utulize moyo wako...your my lotion,swtheart,dearheart...my carpet...my honey...my tea my sugar my breath...oh!..if you die...i die...tehe!..so ww ni zaidi ya NDOO...guess wat!
hebu tulia braza...usidhani hii ni ile ndoa ya Jg...kwangu hulambi kitu...unasubiri kutajirikia kwenye kamati za harusi za wenzio akati ww mwenyewe umefungia ndoa bomani...hamna kikao hapa...tulia tu na ukipata kadi shukuru...hata kama ww ni braza angu,mm ndo msemaji mkuu!...
Hahahaaaa tatizo haamini kukubaliwaHahahaaa we wala usipate shida ya kutunisha misuli ya shingo lol, piga kinanda taraatiiiibuuu pila majasho
Huyu jamaa hata afanyaje mimi ndo kaka yake na mambo yote yatakuwa kwangu.....Heee BAGAHA, SHEM SI NDO ATAKUA MTUNZA HAZINA OR SORRY MTUNZA FEDHA WA VIKAO VYOTE.
Hahahaaa naona unatafuta ugomvi na Bagah aiseeMr Right nimeshafika Bi Nyakomba,nitafute tule maisha
Hahahaaaa kidumun au?mmmmh nimechakachuliwa