Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Mar 28, 2012 #81 BAGAH said: iyo 23 ni number tu braza...fiati na ukubwa wake ule inatekenywa na kaufunguo kadogooo...na linaondoka! Click to expand... Hahahaaa ina maana unataka kusema Bi Mkora ni fiati? Acha maneno mabaya kwa mpenzi wako
BAGAH said: iyo 23 ni number tu braza...fiati na ukubwa wake ule inatekenywa na kaufunguo kadogooo...na linaondoka! Click to expand... Hahahaaa ina maana unataka kusema Bi Mkora ni fiati? Acha maneno mabaya kwa mpenzi wako
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Mar 28, 2012 #82 BAGAH said: wewe ukiona mtu kabeba begi tu unajua kasafiri sio?mjini hapa...una pasaka ngapi mpaka sasa?...naona mambo huyajui..teheheee Click to expand... Ana pasaka ngapi kwani ye ni Mama mchungaji?
BAGAH said: wewe ukiona mtu kabeba begi tu unajua kasafiri sio?mjini hapa...una pasaka ngapi mpaka sasa?...naona mambo huyajui..teheheee Click to expand... Ana pasaka ngapi kwani ye ni Mama mchungaji?
Michael Amon JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 8,769 Reaction score 3,649 Mar 28, 2012 #83 BAGAH said: pamoja na copy-paste lakini naona MICHAPIO kibao...japo kidhungu hata mm hakipandi...LOL Click to expand... Sasa kama kizungu hakipandi umejuaje kuwa nimechapia?y
BAGAH said: pamoja na copy-paste lakini naona MICHAPIO kibao...japo kidhungu hata mm hakipandi...LOL Click to expand... Sasa kama kizungu hakipandi umejuaje kuwa nimechapia?y