Am lonely. any friend thee

hahah thanti BAGAH:.......DU ngoja nijidadicate na ka wimbo ka Linah..... Angalau sasa ninafuraaa. Turururu, hata yale mawazo yatakwishaaa turururuuu. Lol

niitikieje vile??
 
Kwahyo BAGAH analeta kiwingu coz hana shemeji yetu.? Haya sasa BAGAH kazi kwako.

mtally ndugu yetu ricky hajiamini na ndoa yake..sijui ni mke wa kupewa?so um a THREAT kwake!..
 
Mmmmh hapa mie Ndoo kidumu akuuu

Bi Nyako ebu naomba utulize moyo wako...your my lotion,swtheart,dearheart...my carpet...my honey...my tea my sugar my breath...oh!..if you die...i die...tehe!..so ww ni zaidi ya NDOO...guess wat!
 
Hahahaaa so tuanze vikao ????

hebu tulia braza...usidhani hii ni ile ndoa ya Jg...kwangu hulambi kitu...unasubiri kutajirikia kwenye kamati za harusi za wenzio akati ww mwenyewe umefungia ndoa bomani...hamna kikao hapa...tulia tu na ukipata kadi shukuru...hata kama ww ni braza angu,mm ndo msemaji mkuu!...
 
Hahahaaa acha mzchezo aisee maaana km hutaki ndoa ifanyike jaribu uone....
Kwanza Bi Nyako alikuwa anakutania tu....
Hahahaaaaa usijidai maana itakula kwako sasa hivi
 
Bi Nyako ebu naomba utulize moyo wako...your my lotion,swtheart,dearheart...my carpet...my honey...my tea my sugar my breath...oh!..if you die...i die...tehe!..so ww ni zaidi ya NDOO...guess wat!

Hahahaaaa i guess am all above
 

Heee BAGAHA, SHEM SI NDO ATAKUA MTUNZA HAZINA OR SORRY MTUNZA FEDHA WA VIKAO VYOTE.
 
Heee BAGAHA, SHEM SI NDO ATAKUA MTUNZA HAZINA OR SORRY MTUNZA FEDHA WA VIKAO VYOTE.
Huyu jamaa hata afanyaje mimi ndo kaka yake na mambo yote yatakuwa kwangu.....
 
mmmmh naibiwa huku naona, au wenzangu hamuoni?
 
hahahahah shem imani inaondoka taratibuuu jamani hebu nisaidie kuikamata hapo mlangoni lol
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…