Am in love . . .

ila sijajua na nani
ila nasikia so much love inside
hasa nikipita maeneo fulani hivi

hadi kufika asubuhi nitakuwa tayari kutoa tamko lol

ni mke wa mtu alikuwa ananisimulia, nikabaki na maswali, hivi unaweza ukapenda wakati ushaolewa? Na ukapenda mtu mwingine zaidi ya mm wake?
Acha hizo,we mbona umeolewa halafu na aspirin mnanililiyu?
 
ha ha ha ha, bepari labda wewe lol

naona tu, miwivu imekujaa hadi makuchani.

Wee si ulikimbizwa Mchele Ltd.

We konnie wewe,hivi unamvizia nana jamvini humu leo umfunge kamba?
Ngoja nijilalie zangu kesho kazi.
 
ila sijajua na nani
ila nasikia so much love inside
hasa nikipita maeneo fulani hivi

hadi kufika asubuhi nitakuwa tayari kutoa tamko lol

ni mke wa mtu alikuwa ananisimulia, nikabaki na maswali, hivi unaweza ukapenda wakati ushaolewa? Na ukapenda mtu mwingine zaidi ya mm wake?

How did you get there? show me the entrance so that i can come to accompany you!
 
Double LiKe, idai kwa mod.

Umenichekesha sana tena kwa loud speaker, you are insane BADILI TABIA lol

eti midole iko kwenye ya keypad.

haya bana....
Acha nisubirie tamko....
Nahisi midume ya jf imetega masikio na midole kwenye keypads....
Wanatamani watajwe wao....
 
Last edited by a moderator:
umeona BAK ananitega.
Sijajua kama nategeka au nakomaa na huko nitokako.

Sikutegi bana Kongosho :):) ila naingoja asubuhi kwa hamu kubwa sana ili nilione tamko la huyo mwenye bahati ya mtende :):) uliyeamua kumtunukia.
 
Last edited by a moderator:
.....alijisemea soulmate wangu, "infatuations" tu hizo. Kama uyoga siku za mvua...

..... akili bila kuiongoza..utajikuta inakwenda kama gari la tela...wampenda huyu kwa mguu wake, yule kwa tabasamu lake, mwingine kwa mwendo wake...

...mpaka baina ya kupenda na kutamani wategemea matakwa yako.
 
he he he, BAK niko narudia rudia kuspell jina lake nisije nikakosea kuliandika muda ukifika.

Mbu, asante kwa maelezo, ila hata kwenye mapenzi, moja yashinda sifuri.

Sikutegi bana Kongosho :):) ila naingoja asubuhi kwa hamu kubwa sana ili nilione tamko la huyo mwenye bahati ya mtende :):) uliyeamua kumtunukia.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom