Am in love with you ๐Ÿ˜˜ ๐Ÿ˜ ๐Ÿฅฐ

Am in love with you ๐Ÿ˜˜ ๐Ÿ˜ ๐Ÿฅฐ

You Got me wrong BAK....

How could I....

Umenifanya niukumbuke huu wimbo....

Mara ya kwanza huu wimbo ndo umetoka, kuna jamaa akanidediketia, nikaelewa kuwa ananimwaga na hatuwezi kuwa tena marafiki
Nilimmind maana tulikuwa lovers huko nyuma tukapotezana. Tukaja kuonana baadae sana, tukaanza urafiki tuu ndo akanitumia huu wimbo, kumbe yeye alikuwa ameanza kurudisha hisia.

Nikachuna mwezi mzima kuja kuonana nae ananielewesha nilichekaaa.

You got me wrong bubu.... I didn't mean what you interprate or I wrongly pick the genre.

How could I....

Sina ujanja huo best.

Please come over...

Matata K.

  • Thanks
Reactions: BAK
Donโ€™t read between the lines please K Matata. BAK will always be BAK sometimes it is very hard to figure him out ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ

Okay...

Tikee...

Seconded...

Noted...
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Aahahahahhaaaa Miss una virojaa, ukikwama tumia hot bottle water ukishalifunika na taulo au kitenge kizito weka katikati ya mapaja, jifunike aahh ni zaidi ya blanketi hehehehee.
๐Ÿ™„ ๐Ÿ™„ ๐Ÿ™„
 
Hukwenda ofisini leo?

Aahahahhahaaa gat me wrong again....

Yaani nilikuwa naamka kutoka kwenye slow jam hadi kwenye break the dance flow...

Maana hapo juu ilikuwa ni miterezo ya slow and blues and the zero degrees hehehheheheee

Nimejaa tele kwenye dawati la kaburu . To Do List imeisha.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hii thread imenifanya nione kama nimeshika simu ya mtu bila yeye kujua halafu nikaenda kwenye msg zake nikakuta chating zake..find my self smilling na huku nikiangalia pembeni nisije kutwa na mwenye simu...

kuna rahayake kusoma conversation za watu..ukitoa umbea pia kuna Vyakujifunza like how to write,talk,respond,etc..

Kassie vs BAK simu sjui n ya nani..sema acha niende zangu siasani sasa.
 
Msalimie kaburu mwambie BAK kasema akuongezee mshahara akupe na bonus pia.
๐Ÿ˜Ž

Hahahhahahaaaa that's an art...

But for sure Hiyo simu uliyoibamba ni ya BAK hehehehehee
 
Msalimie kaburu mwambie BAK kasema akuongezee mshahara akupe na bonus pia.
๐Ÿ˜Ž

Mmmuuuah!!! Thanks for the wishes.

Jana sikwenda kumwambia maana kwa nilivyokuwa nimevaa angesema namseduce, ila leo.... Am a zake ama zangu....

Kasinde.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom