Am in love with you 😘 😍 🥰

Am in love with you 😘 😍 🥰

Kasie Sina usingizi .nataka niwapigie wanaume wote simu kwenye phone book yangu
What is your opinion bestie?


Aahahahahahaaa sijawahi kufanyaga huo mchezo, ila utawapigia mpaka ndugu? Kaka binamu baba mdogo shemeji....

Mie naona kupiga sio wee ovulation na whatsapp,atayesoma huyohuyo unakomaa nae na kupiga sasa....

All the best mwaya na baridi la Dar huwezi kosa wa kuja kukupa joto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom