BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,331
Nakwambia huyu alikuwa na mguu wa chupa ya beer kwao wote bomba sana ila yeye si wa kawaida hata chembe.
Muone kwanza.... miguu yako weeeh...π π π
Na huyo ni mmoja ya dawa zako za kurudisha uchokozi....(simjui though ila utanipa codes tuu ππππ)
Kasie Matata.