Am in love with you 😘 😍 πŸ₯°

Am in love with you 😘 😍 πŸ₯°

Ok nimeiona inasikitisha sana inafurahisha sana utacheka sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ila kama machozi yako yako karibu then without any doubt you’ll shed few tears.

Ooh nooh it's emotional.... Then I need a shoulder to lean on while I shed tears and burst into laughter....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Okay then you need B to be close by Oooops! I mean D 😜😜😜😜

Hahahahhahaaaa from am to pm

From B to the K.....

Matata K.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Haya enjoy jua β€œKUZAMA” the best please to be is coco beach 🏝 πŸ–

Hahahahhahaaaa from am to pm

From B to the K.....

Matata K.
 
Si nimeomba kitambo? Umesahau? Hahahahaha chezeya mimi weye!

Aahahahahahahaa ngoja D aanze kukufatilia nyendo zako, hehehehehheee

Halafu nimemkumbuka huyu binadamu Tyta.... Amepotea kama Bensaa 8....

Cheers!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wengine wamesepa kimoja wengine wakishaharibu humu huzuka na ID nyingine kama nanihii 😜😜😜

Wewe hujawahi kuharibu?

Ila kuna siku ulinichenjia hadi nikasema..... Kwaniii.... Imekuwaje.... Mbona bubu kakasirika???!!!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hahahahaha ulinywea baadaye huruma ikanijia lakini sikutaka kugeuka nyuma ili nigeuke jiwe. Sijaharibu aisee na siku hizi na hawa watu wasiojulikana nimekuwa extra careful.

Aahahahahabaa sio tuu nilinywea, bali niliufyata haswaa....

Code code codes.....

Bado nagawanya kwa njia ndefu bin magazijuto..... Halle Berry....
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Nikawa nakusoma kimya kimya na kuishia kutabasamu na kusepa zangu ila uzalendo ukanishinda chezeya K matata weye!
😜😜😜😜

Unajua watu wamehamia hapa tangu jana wanatusoma kimya kimya tuu aaahahahhahahahaaaa

Usitiririke zaidi tasavali.....

Let's put some music on....while the weekend lasts....

Boombastic....
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mie mwenzio nilikuwa sina mbavu kwa kuweweseka kwako codes codes codes hahahahaha usiwe na hofu mrembo. I respect you so much pamoja na uborn town wako.

Kuumbeee..... Basi...

Nimeghairi kutuma....
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Pichaaaaa 😍😘 unanifurahisha ila furaha yangu isizae chuki kwa D, au hana wivu? 😜

Wee furahii tuu kwa raha zako the weekend is on.....

Similar Discussions

Back
Top Bottom