am i ....normal

Tuliambiwa tukaujaze ulimwengu,sasa Paulin mpz ww ukikataa kuzaa inakuwaje?well nowdaiz kuna wadada weeeengi hawapendi kuzaa eti baada ya kuzaa shape yake itaharibika(Naomba usiingie ktk kundi hili)
- Wapo wanaozaa na kukataa kunyonyesha eti maziwa yatalala(Naomba usiingie ktk kundi hili)
No pain no gain,tabu zote utakazo pata,kutapika,mahasira,kusema sema ovyo,kuchukia watu,kutopenda kula etc yana mwisho mzuri ambao furaha yake haina kipimo kabisa na kila mtoto fuhara yake huja tofauti.
- Paulini kuna wanawake weeeeengi wanatamani kushika na kubeba,kunyonyesha mtoto lkn hawapati,kuna wanawake wanalia na Mungu usiku na mchana wapate japo mtoto mmoja lkn hawana mtoto,wapo wanaoenda kwa waganga na wametoa vitu vya thamani kubwa pia hawajapata mtoto
- Paulini mtoto ni zawadi kutoka kwa Mungu hivyo basi kwa wakati wake mtoto hupatikana na kwa wakati wake utajua na kuwa jasiri ktk malezi ya watoto,tena mama hodari sana ambae watoto wako watafata misingi bora ya maisha.Kila kitu na wakati wake.
-Pauline mama hana mpinzani usione tuko makazini kutwa masimu nyumbani"Dada amekunywa uji,ok so anacheza,vipi hana joto?muogeshe kidogo mbadilishe Daipaz,sa 5 mbembeleze alale akiamka saga chakula ndizi changanya na samaki alafu tengeneza juic ya embe,sa kumi ikifika mpe maziwa sawa eeeh?mkae salama mwanangu"
-Ma outings yana mda na wakati wake wa kuwa na mzee hilo halina mjadala lkn cha muhimu ni kupangilia mda wako vzr,kazi,mume/mtoto,marafiki na jamaa usisahau.

Pearl umenikumbusha mbali na kunifurahisha lol, hapo kwa simu tena itokee ulimuacha anaumwa ndio kabisaaa kila saa dada joto halijapanda, vp amekunywa uji, maziwa je? mpondee basi viazi umjaribishe kidogo. Anacheza!! kweli hebu nipe simu nimsikie kidogo anavyocheka basi ukisikia zile baba dada na yale makelele mengine roho inasuuzika kabisa.

Mi nakumbuka alivyokua akiumwa kuhara akilegea basi automatically na mimi nalegea, akichangamka na mimi naanza kuchangamka, jamani watu ambao huwa wanaondoka sijui anaacha mtoto hajui amekula au hajala au wengine anamtupa kijijini ye anaponda maisha nadhani huwa mioyo yao inahitilafu kidogo, kwani ile mama kujisikia vibaya mtoto akipata tatizo mbona ni natural jamani sa hao wenzetu wameumbwaje?
 
pauline nakushauri hivi, .......................nenda kamuulize mama yako (kaa unaye) kuwa kama asingekuzaa wewe angejisikiaje?............... kisha tuletee majibu hapahapa............ ni hilo tu mkuu.............

Usijali akili kichwani, hayo mawazo aliyonayo pauline ni ya kawaida sana kwa mtu ambae hajazaa, mi nakwambia nilivyokuwa naogopaga kero za watoto baba wa huyu nyanzala wangu alijua nikizaa tu huyu mtoto labda nitamtupa, yaani nilivyopata mimba nilichukia kuliko maelezo nilikua sitoki hata nnje, nakaa nafikiria kuna mtoto wa dada yangu yeye alikua analia mpaka mama yake analia, yaani hamlali usiku kucha, msizime taa kilio chake balaa utadhani huko tumboni kulikua na mwanga. Basi nilikua nikimfikiriaga natamani ile mimba iyeyuke kabisa.

Ila nilivyozaa wacha kabisa, nilibadilika na kumpenda mwanangu kuliko maelezo wakati nilikua nasema nikimzaa tu namuachia bibi, nilimnyonyesha mtoto miaka miwili mpaka mama yangu alishangaa maana yeye anasema ni mimi tu ndio nilinyonya mwaka na miezi 8 cause nilikua sipendi kula wengine wote chini ya hapo.
 
yani ww acha tu,mm nina kitabu nimempa dada "dada andika mda atakaoamka,andika mda atakao kula,andika mda atakao oga,mda alokunywa juice,mda alopata choo,mda alolala tena"nikirudi jioni napitia book langu utasema nafanya mahesabu ya biashara,fine kuna sababu za kupeleka mtoto kwa mama lkn hapa inabidi tuangalie na miaka sahihi hasa,so unampeleka wakati ana miezi lol kisa ni nn?kuponda raha au?mbn raha ziko tele hazina hata dalili za kuisha?Tatizo wengi wetu tunaiga mambo jamani mengine hayatakiwi kuigwa!
Maty niambie wakati wa kumbembeleza sasa yani unazunguka nyumba nzima unaongea maneno yoooote kama mwehu,nyimbo zote unaimba mpaka Mungu ibariki dah we acha tu.
Pearl umenikumbusha mbali na kunifurahisha lol, hapo kwa simu tena itokee ulimuacha anaumwa ndio kabisaaa kila saa dada joto halijapanda, vp amekunywa uji, maziwa je? mpondee basi viazi umjaribishe kidogo. Anacheza!! kweli hebu nipe simu nimsikie kidogo anavyocheka basi ukisikia zile baba dada na yale makelele mengine roho inasuuzika kabisa.

Mi nakumbuka alivyokua akiumwa kuhara akilegea basi automatically na mimi nalegea, akichangamka na mimi naanza kuchangamka, jamani watu ambao huwa wanaondoka sijui anaacha mtoto hajui amekula au hajala au wengine anamtupa kijijini ye anaponda maisha nadhani huwa mioyo yao inahitilafu kidogo, kwani ile mama kujisikia vibaya mtoto akipata tatizo mbona ni natural jamani sa hao wenzetu wameumbwaje?
 
yani ww acha tu,mm nina kitabu nimempa dada "dada andika mda atakaoamka,andika mda atakao kula,andika mda atakao oga,mda alokunywa juice,mda alopata choo,mda alolala tena"nikirudi jioni napitia book langu utasema nafanya mahesabu ya biashara,fine kuna sababu za kupeleka mtoto kwa mama lkn hapa inabidi tuangalie na miaka sahihi hasa,so unampeleka wakati ana miezi lol kisa ni nn?kuponda raha au?mbn raha ziko tele hazina hata dalili za kuisha?Tatizo wengi wetu tunaiga mambo jamani mengine hayatakiwi kuigwa!
Maty niambie wakati wa kumbembeleza sasa yani unazunguka nyumba nzima unaongea maneno yoooote kama mwehu,nyimbo zote unaimba mpaka Mungu ibariki dah we acha tu.

Hahahaha umenikumbusha mbali my dear lol, hapo pa kubembeleza wangu hasa ilikua kwenye kula nadhani pauline angeona usumbufu wa huyu ndio asingezaa kabisa mwe! mpaka ameze kijiko kimoja cha uji umeshajiimbisha, unaamka unamchezea na hata ngoma nidio anacheka uji unaenda unaanza tena kingine mpaka uishe viungo vyote vinauma aisee, yaani huyu mtoto alinifanya nikae nyumbani muda mrefu maana hakuna ambae alikua anamuweza kwenye kula, ila ukishamaliza hizo kero unasahau kabisa kesho unaanza tena lol, Mwenyezi Mungu alitupa ujasiri wa ajabu sana sisi wamama.

Ngoja nijipigie makofi he! na wamama wote popote mlipo kwa kwa kwa! maana kulea si mchezo ati
 
Pole sana Pauline kwa mawazo hayo......

Ila my dear, kama walivyosema wengne, yaani kuna raha ya ajabu sana ambayo unapata kwa kumpakata mtoto ambaye ni kwako. Yaani mimi hizo taabu za kukesha wala sikumbuki...yaani it is a blessing my dear to be a mother!

Mbarikiwe wamama wote!
 
....Nimeishi na dada yangu katika kipindi cha mwisho (last semmester) cha ujauzito mpaka alipojifungua mtoto wa kiume...mwenzenu sijui kwa nini,kumuona dada yangu anavyohangaika na mtoto limeniput off kabisaa mimi kuzaaa na kulea!.....jamani sio kazi rahisi especially siku za kwanza,nimeona hata usiku kila baada ya lisaa limoja mtoto alikuwa analia,inabidi ambembeleze ampe maziwa etc HULALI. .....pia kuwa na mtoto kumemzuia kwenda kusocialize kwenda club,parties etc....
...nauliza nyie wamama wa JF how do you balance being a mother,a wife ana may be full time worker........kwa sababu kila nikiangalia mwenzenu naona kama YATANISHINDA,hilo la umama naona kama nitalisacrificE nibaki hivi hivi...LOL
mwenzenu naona U MAMA ni wito kama vile ulivyo upadre LOL,'sio wote 'wanaitwa'! hehehe....kuna wanaowaza kama mimi au???????????????????????

Happy mothers day to all mamas here in JF,some of us understand how much you sacrifice for the sake of your kids...BIG UP TO YOU ALL....

Ipo siku utataka kuwa na mtoto kwa hamu zote na Mungu akakupiga kofi na kukunyima kabisa.
 
Come on K, i want to climb those mountains i want to remove THE FINEST and replace it with DADDY

Kijana, hebu msikie kwanza Lucky Dube hapa chini....

"Lord have mercy...

I remember the day I called mama on the telephone
I told her mama I' m getting married
I could hear her voice on the other side
Of the telephone she was smiling
And she asked me a question
That I proudly answered
She said son did you take time
To know her?
I said mama she is the best
But today it hurts me so to go back to
Mama and say
Mama I' m getting divorced oh
I' m getting divorced

The choice I made didn' t work out the way
I thought it would
This choice I made it hurts me so mama
This choice I made didn' t work out the
Way I thought it would
This choice of mine oh....
Mama said to me

Chorus (x2)
It' s not easy to understand it son
But I hope you' ll make it
You' ll be happy again

I remember in church when the preacherman
Read the scriptures
You looked so beautiful, so beautiful
And so innocent
I did not know that behind that beauty
Lies the true colours that will destroy me
In the near future.........."
 
Sasa K unataka niwe mseja lol
 
Mhhhh....Kaizer mbona unamtisha mwenzio hivyo bana???!!!!

Mzima lakini wewe?
 
Back
Top Bottom