pauline
JF-Expert Member
- Dec 26, 2010
- 650
- 140
....Nimeishi na dada yangu katika kipindi cha mwisho (last semmester) cha ujauzito mpaka alipojifungua mtoto wa kiume...mwenzenu sijui kwa nini,kumuona dada yangu anavyohangaika na mtoto limeniput off kabisaa mimi kuzaaa na kulea!.....jamani sio kazi rahisi especially siku za kwanza,nimeona hata usiku kila baada ya lisaa limoja mtoto alikuwa analia,inabidi ambembeleze ampe maziwa etc HULALI. .....pia kuwa na mtoto kumemzuia kwenda kusocialize kwenda club,parties etc....
...nauliza nyie wamama wa JF how do you balance being a mother,a wife ana may be full time worker........kwa sababu kila nikiangalia mwenzenu naona kama YATANISHINDA,hilo la umama naona kama nitalisacrificE nibaki hivi hivi...LOL
mwenzenu naona U MAMA ni wito kama vile ulivyo upadre LOL,'sio wote 'wanaitwa'! hehehe....kuna wanaowaza kama mimi au???????????????????????
Happy mothers day to all mamas here in JF,some of us understand how much you sacrifice for the sake of your kids...BIG UP TO YOU ALL....