Am I falling in love or is just a crush?

Am I falling in love or is just a crush?

Nilikua na ham ya kusoma hadi mwisho ila hizi "ni kama may be, naumia that's" n.k zimeniboa. Ni sawa nakuendeshea gari manual then kila ikiweka gear inaingia neutral
 
Jamani pole Sana my dear,,,,mwombe mungu akupe mume mwema,,,.story yako real imeniumza kma mwanamke.bt remember ur responsible for your own happiness,,,don't expect others to make you happy coz you will always be disappointed!hata sisi yametukuta.Be strong and let it go,,,Wako atakuja na hutalia tena,
 
I'm 29 yrs old now. I have never been in any relationship, like serious, sina boyfriend hadi sasa. Although I had several crushes over some men, but neither of them didn't work because they were just crushes. Here I am again facing another case.

Kuna kijana nimetokea kumpenda jinsi alivyo tu, yaani I wish he can be more than a boyfriend nadhani naenda mbali kidogo. Kuna some coincidences zinatokea tunapokutana maana we work at the same place, to the extent that I think like he is mine. Kuna siku nilitamani kumwambia but I was so afraiding of speaking it out.

Kwa jinsi alivyo is like he is single nilikua tu namsoma nikajitoa kumuuliza status yake. Akanambia ataoa hivi punde, I will never forget nililia sana usiku. Yaani niliumia wiki nzima, ni kama kuachwa nadhani. Up to now I'm trying to move on and the guy doesn't know that he has broken my heart. Siku zinazidi kwenda afu sioni dalili za yeye kuoa, but I'm trying to let him go.

Japo kila nikifikiria naumia that's why najiuliza if it's just a crush or falling in love.. The man is good in keeping in touch with people in communication wise but unfortunately kwangu mimi ni kama may be I'm not his type although he is just a friend because he doesn't text me, sometimes he doesn't reply my texts, or even pick up my calls.

Inauma lakini ndo hivo inabidi nimuache aende. . Ijapokuwa kuna wakati nikijisikia upweke naumia, lakini ndo hivo afu kuna wakati natamani nimshirikishe jambo hasa la kufurahisha then napotezea maana ndo hivo najua atachukulia poa.

Yeye hunitafuta tu Pale akihitaji msaada wangu, otherwise he does not call or text. This makes me feel bad anyway he just doesn't know... Hakika moyo sukuma damu...
dedicated to you
 

Attachments

Acha upumbavu sio kilamtu unayependa nayeye atakupenda hatakama unahela au urembo utaumbuka hapo inaonekana jamaa anajua unajishebedua anakuchora kama fara acha kulazimisha hisia zako zifanane na wengine huo no ulimbukeni na unajichosha tu haitaka itokee kama unavyo taka
 
Ndio tatizo la kuanza mapenzi uzeeni....
hayo mambo ulitakiwa ufanye miaka 12-13 iliyopita.
 
I think it's a bad choice and forget about him take him as your workmate for guidance check on 0756217322
 
Mpaka moyo umenidunda nimekua nkiambiwa hivy na wadada wengi ambao siwapendi bt nnaowapnd inakuwa too late
 
Acha upumbavu sio kilamtu unayependa nayeye atakupenda hatakama unahela au urembo utaumbuka hapo inaonekana jamaa anajua unajishebedua anakuchora kama fara acha kulazimisha hisia zako zifanane na wengine huo no ulimbukeni na unajichosha tu haitaka itokee kama unavyo taka
Uko sahihi. Ukweli mchungu
 
Hizi bahati mbona mimi huwa sizipati? No woman has ever had a crush on me, mara zote ni full mtongozo tena wa kubembeleza kweli kweli. Heri wenye bahati, pole sana dada kwa sababu ofisini is the worse place kukataliwa au kupigwa kibuti cha mapenzi so trade carefully.
 
Una matarajio makubwa mno ktk maisha, maisha ndio hayahaya, rahisisha baadhi ya mambo uishi kwa wepesi zaidi
 
Mmmmh Pole sana, i know how t feels.. Na wew siyo wa kwanza kukutana na kitu kama hiko, jipe moyo endelea na maisha yako jipende na kujithamini.
 
Samahani dada,ushawahi kutongozwa? Ulimwambiaje aliyekutongoza....kumbuka mapenzi ni kama umeme!
 
Wenzio wa umri huo saivi wanalea vijukuu,wewe bado unahangaika kujigonga kwa mtu asiyekutaka!
Pole,nyie ndo wale enzi za usichana wenu mlikua mnajidai kuchagua wanaume mara ooh nataka amazing man,handsome,lovly nd caring.
Usitusumbue tena..acha kubambia wanaume wa wenzio.
 
Back
Top Bottom