Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,487
- 2,634
...duh.,umepona uchizi!unawezaje kukataa hata kwenda kwa bi mkubwa? watu kibao wanakuhitaji wala hujali .yaani wewe unajiwazia wewe tu .sio fair hata kidogo .ila sio tatizo lako mwenyewe wanaume wengi mpo hivo
I am ,Are you depressed??
Hii hali haihusiani na kuwa single au in relationship. Hata nikiwa in relationship hainibadili,nakuwa hivi hivi napenda kuwa mwenyewe.Huyu RRONDO nakosa kumuelewa maana hapo mwanzo huwa na muweka katika kundi la late 40s.
Upo single? (30s) inakuhusu ila sio sheria...
Anyway uamuzi wako ndio furaha yako. No regrets!
Okay,kama siyo muda wote hilo siyo tatizo mkuu,wewe uko sahihi kabisa kwakuwa binadamu kuna wakati huhitaji kuwa peke yake ili atafakari mambo tofauti tofauti ya maisha yake na kufurahia uwepo wake hapa duniani yeye kama kiumbe wa aina yake maana hakuna kama yeye....Sio muda wote...kuna wakati najirusha vizuri tu. btw umeadimika, busara zako tumezikosa muda sasa.
Kwema kaka, Mungu akuongoze kwenye mapambano ya dunia.Okay,kama siyo muda wote hilo siyo tatizo mkuu,wewe uko sahihi kabisa kwakuwa binadamu kuna wakati huhitaji kuwa peke yake ili atafakari mambo tofauti tofauti ya maisha yake na kufurahia uwepo wake hapa duniani yeye kama kiumbe wa aina yake maana hakuna kama yeye....
Mkuu,nipo sana tu haya maisha yanatufanya tusiwepo sana hapa...
Kwema lakini mkuu?
mkuu are you in long distance relationshipWat if mmoja hayupo cooperative kwenye mawasiliano, however Hard you try to maintain communication hupati ushirikiano, hapo tafsiri yake nini
I used to be.mkuu are you in long distance relationship
what happened...? mapenzi yaliishaI used to be.
Yep. We broke upwhat happened...? mapenzi yaliisha
Duh! tuanzishe jukwaa letu special JF nilikuwa nafikiri niko peke yanguKumbe tupo wengi maanake nilikuwa najishtukia.
pole.. yeye alikua wapi na wewe ulikua wapi???Yep. We broke up
mimi dodomapole.. yeye alikua wapi na wewe ulikua wapi???
ushapata replacement???
nimekusamehe tu bure maana kuna mtu kanipa laki hapa ya sikukuu...duh.,umepona uchizi!
..kwa mara ya kwanza umeongea sense,dadeki!
Dodoma na morogoro mbona Karibu hivyo.... Take your time mkuumimi dodoma
yeye morogoro.
Sjapata replacement. I need some space kwanza.
Shukran mkuu,acha tupambane....Kwema kaka, Mungu akuongoze kwenye mapambano ya dunia.
Kwa uzoefu wako unadhani nini kimechangia mmoja kutopenda kuwasiliana na mwenzake ?Dodoma na morogoro mbona Karibu hivyo.... Take your time mkuu