Kweli si kila mwanamke anafaa kuwa mke...
Acha utoto dada,ndoa si lelemama,Am feeeling hurt coz i wonder if am in his heart and he over with his ex coz they no love except for the fisrt love
matatizo mengine ya kujitakia kama hayaHala JF,
Natumai wazima wote, ningependa mnisaidie na hisia zangu ambazo mimi mwenyewe sizielewi ni hivi nimeolewa na nina miaka miwili na nusu kwenye ndoa na mtoto mmoja, sema la kweli I really really love my husband and he loves me too we have been in love for 2yrs before marriage.
Sasa ikatokea nikasikia kuhusu his past love story ambayo inanifanya nihisi bado anamuwaza ex wake, Iam crying all the time feeling so lonely feeeling Iam with wrong person and listening to sad love songs and cry because i heard that he wanted to kill himself sababu ya ex wake but akajitahidi kumove on. Please nisaidieni i love him but am unsure of his feelings or he is still with his ex pain.
na wewe kwani mumeo alikukuta bikira? kwa hiyo huyo ndo first love au? una umri gani kwanzaI mean they say there is no love except for the first love
ha ha ha. Unajua wengine wakiwa na furaha sana au huzuni sana, kidhungu ndio kinapanda. You know whattam saying?😉Tumia tuu kiswahii dada hii lugha unayo changanyia ilikuja na meli ipotezee tuu
If at all this is true,You seem really lonely.Mpaka saa saba za usiku unajibu comments za watu!!!...Ama Haupo East Africa?
Unamhisia mtu vitu ambavyo maskin huenda hanavyo na alishasahau, mi nadhan hata kam ingekuwa anamkumbuka still una nafasi ya kumfanya amsahau kabisa,kama tu utakuwa mbunifu, since ndoa pia inahitaji sana creativity,Am feeeling hurt coz i wonder if am in his heart and he over with his ex coz they no love except for the fisrt love
Unamhisia mtu vitu ambavyo maskin huenda hanavyo na alishasahau, mi nadhan hata kam ingekuwa anamkumbuka still una nafasi ya kumfanya amsahau kabisa,kama tu utakuwa mbunifu, since ndoa pia inahitaji sana creativity,
Two year ni muda ambao unatosha sana kum study mumeo vitu gani anapenda sana na vitu hapendi,sasa we mfanyie kwa ziada na ustad ivyo anavyovipenda kama tu havipangani na Amri za m/mungu,
Na pia viache vile asivovipenda kama tu havipingani na Amri za M/mungu,
. Pia lazma ujue kuwa ndoa inahitaji subra ya hali ya juu sana
Yupo nchi za Uarabuni kama bado hajahama, ila ndio makao yao.
that is not true people can forget the 1st love and move on ,as for his case he has establish a family dont u see ure more spercial to him? Forget about his ex make sure the family is happy and move on to more important things like developments.
Acha utoto dada,ndoa si lelemama,
Mambo ya first love ni illusion ya tamthilia za Cinderella na wafilipino,
Utuuzima huu mnaoana 30's unategemea awe bikra? Ts the past,accept it mana u can't change it
Umeolewa wewe sio ex,angekua anacheat nae sawa, but story tu??piga magoti Sali hio loneliness indoke ufurahie ndoa yako kuna watu wana majaribu way too real than hii illusion unayoikuza hapa
All the very best,ndoa ni kwenye shida na raha
We ridhika na unayopata sasa usilazimishe akupende kama ex wake hilo haliwezi tokea.Am feeeling hurt coz i wonder if am in his heart and he over with his ex coz they no love except for the fisrt love
Kila mtu ana past life lkn kwann ufanye past yako ikutawale? Punguza utoto km ulikubali kuolewa ina maana ulishakubali kulala uchi. Sema ww aababu hujawah kua na mahusiano before. Mfano ungekua nayo hlf uvae via2 vya uyo mumeo ungejickiaje?? Utapata vidonda vya tumbo kwa mawazo yacyo na tija. Km mumeo anakupenda, kukujali na kukuheshimu iyo ndio silaha pekee kwako mengine hayana tija. Jaah bless ya!!