Am feeling guilty, nafsi inanisuta

Two deaths will not happen ( but) one is inevitable.

Mind you, Be careful before you do something that can not be changed.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
You are funny boy.
nakusanya comments za wadau.....nakuja na conclusion yako [emoji23] [emoji23] chozi litakudondoka [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Story kama yangu vile, ila make right decision usijejuta. Pia bora zimwi likujualo kuliko zimwi jipya
 
wakati unamuimbisha mpaka unamvua hukutushirikisha mkuu, sasa maliza mwenyewe hukoo
 
soma vizuri mkuu sijamtokea kafall mwenyewe[emoji16] [emoji16]

manzi wangu wangu nilimpa likizo sababu ya mambo mengi ambayo siwezi kuya disclose hapa
 
(Shetani mbaya sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16])
Ulipoanaza kucheka na ahetani ndo tatzo linapoanzia hapo. Hio hatia usipoangalia ikakutafuna kama mimi iepuke haraka sana
 
(Shetani mbaya sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16])
Ulipoanaza kucheka na ahetani ndo tatzo linapoanzia hapo. Hio hatia usipoangalia ikakutafuna kama mimi iepuke haraka sana
kweli mkuu najitahidi kuiepuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…