Alshabaab waachia video... wataja baadhi ya majina ya waliowaua kwenye shambulizi la kenya

Yaani hao, wakisoma id yako unaitwa John, Albert au jonson ndio tiket ya kwenda Jehanum, ila ikisoma Muddy, Sele ndio pona yako.
 
Mda si mrefu uzi huu utageuka uzi wa kukashifiana baina ya DINI mbili.Sijuwi kwa nini kila siku ni hivi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna namna mkuu siunajua tena kila mtu ana tafsiri yake ya jambo huwezi kuwazuia

wapo wataotafsiri huu uzi hasa hyo video kuwa hao magaidi wamelenga mauaji dhidi ya dini fulan

na wapo pia wataotafsiri huu uzi hasa hyo video ipo kwa ajiri ya kuonesha kuwa dini fulan ni yakigaidi

na hapo ndio mtafuruku utakapoanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magaidi sikuizi hawajali ww muislam wala mkristo ww ukikaa kwenye vizuri wamekuua mbona shambulio la juzi waislam wengi wamekufa, baniani Christian twende wamewauwa lengo lao ni kuwaumiza wakenya hawajal dini. Tunawaombea wakenya wapone haraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kakudanyanya Nani wakati plan yenu watu wote wamuabudu Allah . mnatulazimisha kwa kunchinja watu km kuku na kujilipua /kujitoa muhanga huku mkidanganywa mkitekeleza hayo mnaenda mbinguni kwa Allah anayependa damu za wasio amini
Magaidi sikuizi hawajali ww muislam wala mkristo ww ukikaa kwenye vizuri wamekuua mbona shambulio la juzi waislam wengi wamekufa, baniani Christian twende wamewauwa lengo lao ni kuwaumiza wakenya hawajal dini. Tunawaombea wakenya wapone haraka

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waislam nani aliyewaloga au kupumbaza akili zenu. Heri mtumie njia ya amaji kushawishi watu wawe wafuasi wenu kuliko kujitoa mhanga na kulipua watu. Mnazidi kuonekana dini katili sana
 
Back
Top Bottom