Alphonce Mawazo Kutokuzikwa Kesho

Alphonce Mawazo Kutokuzikwa Kesho

Vitabu vya dini vinasema ukiona maiti imechelewa kuzikwa kwa muda mrefu basi huyo hakua mtenda mema.
 
Mtu akushakufa hakuna jipya. Uzikwe au usizikwe ni sawa tu. Najiuliza tu, how do you balance family interests with those of the party? Kwa mfano msiba wa Nyerere, huu wa Mawazo au wa marais wengine. As long as ndugu wameridhia basi hakuna neno.

Nakumbuka Omar Ali Juma hakuzikwa ghafla kama dini inavyotaka. Ndio balancing ya interest za nchi na Chama.

Kuna mtu aliimba....Nasema sina nduguuu, wa kuweza kunisaidiaaa, nikifa leo na kesho, maiti ya kwangu ni bureee, yatatupwa kama umbwa, na kuyasahau pale paleee....
Ukishakufa basi. Wewe na muumba uso kwa uso unapata stahili yako.
 
Vitabu vya dini vinasema ukiona maiti imechelewa kuzikwa kwa muda mrefu basi huyo hakua mtenda mema.

Na wanaochomwa moto je ambao hawazikwi?

Hivi Osama alivyozikwa kiaina vile inakuwaje?
 
Mmemweka kwenye fridge wiki nxima,mkamruhusu upendo peneza aape mapema ili aende kumzika,,baadae mkataka msiba uwe wa kiprpaganda,mkamkalisha kwenye fridge eti mpka shein mumzomee,,,,hvi kama aluekufa hamumjali hvi je tukiwapa nchi itakuaje,,au mnadhani millioni 34 zenu zinaifanya familia yake iwachukulie poa eti,muacheni akapumzike ,,this is too much sasa

Unajua kwa usahihi Nyerere alikufa lini na alizikwa lini?
 
Walianza na Lowassa wakahamia kwa Maalim Seif wakaenda kuzomea Bungeni wakaenda kutimuliwa kwny Msosi Dodoma sasa wamehamia kwny Maigizo ya Kutembeza mwili wa Marehemi. Kuweni na Adabu acheni familia ipumzishe mwili wa Marehemu panapostahili, ingekuwa kafa ndugu yao wangefanya hayo maigizo?
Popo bawa hiloo
 
mzikeni jamani,kwa nini mnamtesa namna hii marehemu?

Siyo mzoga alikokuwa mzima hukumjali iweje umjali baada ya kuuwawa na chama chako. Lazima azikwe kwa heshima zote; hasa kwa sisi wa Arusha kwa kazi nzuri aliyoifanya.
 
Walianza na Lowassa wakahamia kwa Maalim Seif wakaenda kuzomea Bungeni wakaenda kutimuliwa kwny Msosi Dodoma sasa wamehamia kwny Maigizo ya Kutembeza mwili wa Marehemi. Kuweni na Adabu acheni familia ipumzishe mwili wa Marehemu panapostahili, ingekuwa kafa ndugu yao wangefanya hayo maigizo?

Nyinyi mnauchungu nae kuliko sisi??
 
Walianza na Lowassa wakahamia kwa Maalim Seif wakaenda kuzomea Bungeni wakaenda kutimuliwa kwny Msosi Dodoma sasa wamehamia kwny Maigizo ya Kutembeza mwili wa Marehemi. Kuweni na Adabu acheni familia ipumzishe mwili wa Marehemu panapostahili, ingekuwa kafa ndugu yao wangefanya hayo maigizo?

Hilo ndio tatizo lqa kuwa na viongozi wasiokuwa na mipango
 
Serikali ya Magufuli ndiyo inayomtesa.

Ni Nani aliyemdanganya akawa mwanachama wa Genge la Freemason.... ukiwa ni wakili wa shetani moto na adhabu utaanza kuvipatia hapa hapa.... watu wote waliofanyiwa unyama na kiumbe huyu waanza kulipiwa hapa hapa!!
 
Can't imagine. Mtu kakatwa mapanga... vidonda vya marehemu vinakuwa treated vipi?
 
kwahiyo wewe huoni jinsi wanavyomuhangaisha marehemu? Matokeo yake anaweza kuamka na kuwaambia mumzike maana Naona Mnaleta Siasa Hata kwenye Misiba

Kwa akili yako unataka azikwe tu kirahisi kama kafa kwa MARALIA sio? Huyu mtu KAUAWA! tena sio tu kauawa, lakini wauaji wamemshambulia akiwa kazini! Kazi za CHAMA! HAWEZI KUZIKWA KITOTO TU! Anastahili heshima yake. Achha ujinga
 
Tutahakikisha Kamanda Mawazo anapata heshima zote anazostahiki. Huu ubabe wa CCM na polisi wake utakuwa ndio chachu ya hayo!
RIP Kamanda
 
Ni Nani aliyemdanganya akawa mwanachama wa Genge la Freemason.... ukiwa ni wakili wa shetani moto na adhabu utaanza kuvipatia hapa hapa.... watu wote waliofanyiwa unyama na kiumbe huyu waanza kulipiwa hapa hapa!!

Una maana ule moto kwenye nembo ya magufuli nini?
 
Walianza na Lowassa wakahamia kwa Maalim Seif wakaenda kuzomea Bungeni wakaenda kutimuliwa kwny Msosi Dodoma sasa wamehamia kwny Maigizo ya Kutembeza mwili wa Marehemi. Kuweni na Adabu acheni familia ipumzishe mwili wa Marehemu panapostahili, ingekuwa kafa ndugu yao wangefanya hayo maigizo?

hayakuhusu....
 
Bora nimezaliwa muislamu duh!

Ustaadh samahani kidogo. Swala la dini limeingiaje hapa?, mana Kwa mtazamo wa haraka siasa ndio kikwazo hapa na sidhani kama dini ya marehemu au wanaotaka azikwe lini zinahusika...Allāhumma!!
 
Ni Nani aliyemdanganya akawa mwanachama wa Genge la Freemason.... ukiwa ni wakili wa shetani moto na adhabu utaanza kuvipatia hapa hapa.... watu wote waliofanyiwa unyama na kiumbe huyu waanza kulipiwa hapa hapa!!

Kwa sababu sio ndugu yako, ropoka tu! Lakini wenye hekima husema, "majira huongea, na nyakati hunena". Tuiteni majona yote mabaya, lakini kuna siku majira yatakuja kuongea. Hapo tutatambuana.
 
Una maana ule moto kwenye nembo ya magufuli nini?

Haswaaa, moto uliobebwa na green gurd kwenda kuchoma fikra za kiMAPINDUZI. MAKABURU waliwauwa kina Stive Bico na wanaharakati wengine wengi! Lakini mwisho wa yote harakati zilishinda, kaburu akaachia! Sembuse nyinyi CCM!
 
Back
Top Bottom