Alphonce Mawazo Kutokuzikwa Kesho

Alphonce Mawazo Kutokuzikwa Kesho

Walianza na Lowassa wakahamia kwa Maalim Seif wakaenda kuzomea Bungeni wakaenda kutimuliwa kwny Msosi Dodoma sasa wamehamia kwny Maigizo ya Kutembeza mwili wa Marehemi. Kuweni na Adabu acheni familia ipumzishe mwili wa Marehemu panapostahili, ingekuwa kafa ndugu yao wangefanya hayo maigizo?

kama umemeeza panya vilr imekukaba hivi mawazo anawauma nn?
 
Huyo mawazo hana ndugu.haiwezekani kama kweli ana ndugu wakubali mawazo aoze kusubiri vikao vya nyumbu wakijadili kwenda mahakamani

mbona inakuuma kama vile ulihusika kumkata shoka
 
Walianza na Lowassa wakahamia kwa Maalim Seif wakaenda kuzomea Bungeni wakaenda kutimuliwa kwny Msosi Dodoma sasa wamehamia kwny Maigizo ya Kutembeza mwili wa Marehemi. Kuweni na Adabu acheni familia ipumzishe mwili wa Marehemu panapostahili, ingekuwa kafa ndugu yao wangefanya hayo maigizo?

Wewe ni pwapwa hovyo lililo kosa bwasha
 
Kwa akili yako unataka azikwe tu kirahisi kama kafa kwa MARALIA sio? Huyu mtu KAUAWA! tena sio tu kauawa, lakini wauaji wamemshambulia akiwa kazini! Kazi za CHAMA! HAWEZI KUZIKWA KITOTO TU! Anastahili heshima yake. Achha ujinga

sasa mkuu mnataka kumvundika mpaka lini mnataka siku ya kumzika kila mtu azibe pua hiyo ndo furaha yenu?
 
hao walipewa Heshima Sehemu gani na Walikuwa nani katika Nchi hii?

Alphonce Mawazo alikuwa Mwenyekiti wa CDM Mkoa wa Geita.Pia aligombea ubunge Busanda na hakufanikiwa kupita.Angelifariki kabla ya uchaguzi,basi uchaguzi Busanda ungeliahirishwa.Ni Kiongozi mkubwa wa CDM na mpambanaji wa Ukweli.Celina alikuwa Waziri na mgombea Ubunge wa CCM Ulanga Mashariki.Filikunjombe alikuwa Mgombea ubunge wa Jimbo ka Ludewa.Ndivyo alivyokuwa Mawazo Busanda.Celina aliagwa Dar na Moro.Filikunjombe aliagwa nyumbani kwake Kijichi na Ludewa.Vivyo hivyo kwa Kigoda.Ndivyo ilivyokuwa kwa Makaidi aliagwa Lindi na Dar.Kwa nini sio Alphonce Mawazo?
 
Sasa mbona hamuwapi majina ya Neema watoto wenu?

......... ni kama una uhakika na uyasemayo ! .......... Neema ni Neema tu na haimzuii mtu kumuita mwanae. Na Waislaam huwa na majina mazuri. Manabii wote mpaka Yesu majina yao wanapewa Waislaam Magwangala
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom