Alphonce Mawazo Kutokuzikwa Kesho

Alphonce Mawazo Kutokuzikwa Kesho

Habari za hivi Pundi Zilizotufikia kutoka kanda ya ziwa na kudhibitishwa na msemaji mkuu wa Chadema Tumaini Makene.

Kwa sasa inaweza kuthibitishwa rasmi na kwa usahihi kuwa ratiba ya kumpatia heshima za mwisho kumuaga kiongozi wetu mahiri na kipenzi cha watu Alphonce Mawazo imebadilika.

Baada ya mashauriano kupitia vikao yaliyofanyika takriban siku nzima ya jana hadi usiku, imekubalika kuwa Mawazo hatazikwa kesho Jumatatu kama ilivyokuwa imepangwa awali na leo hataagwa mjini Geita kama ambavyo wananchi walikuwa wameshataarifiwa kupitia njia mbalimbali.

Taarifa ya ratiba nyingine kuhusu utoaji heshima za mwisho kumuaga Mawazo na mazishi yake, itatolewa baadae.

Asanteni

Tumaini Makene

Kwani Makene ndio msemaji wa familia ya marehemu? Haya mambo mbona wanayafanya mtaji wa kisiasa!
 
Walianza na Lowassa wakahamia kwa Maalim Seif wakaenda kuzomea Bungeni wakaenda kutimuliwa kwny Msosi Dodoma sasa wamehamia kwny Maigizo ya Kutembeza mwili wa Marehemi. Kuweni na Adabu acheni familia ipumzishe mwili wa Marehemu panapostahili, ingekuwa kafa ndugu yao wangefanya hayo maigizo?

Dont be an idiot
 
Habari za hivi Pundi Zilizotufikia kutoka kanda ya ziwa na kudhibitishwa na msemaji mkuu wa Chadema Tumaini Makene.

Kwa sasa inaweza kuthibitishwa rasmi na kwa usahihi kuwa ratiba ya kumpatia heshima za mwisho kumuaga kiongozi wetu mahiri na kipenzi cha watu Alphonce Mawazo imebadilika.

Baada ya mashauriano kupitia vikao yaliyofanyika takriban siku nzima ya jana hadi usiku, imekubalika kuwa Mawazo hatazikwa kesho Jumatatu kama ilivyokuwa imepangwa awali na leo hataagwa mjini Geita kama ambavyo wananchi walikuwa wameshataarifiwa kupitia njia mbalimbali.

Taarifa ya ratiba nyingine kuhusu utoaji heshima za mwisho kumuaga Mawazo na mazishi yake, itatolewa baadae.

Asanteni

Tumaini Makene

Wakiristo hawawezi kujifunza kupitia kifo !
 
Walianza na Lowassa wakahamia kwa Maalim Seif wakaenda kuzomea Bungeni wakaenda kutimuliwa kwny Msosi Dodoma sasa wamehamia kwny Maigizo ya Kutembeza mwili wa Marehemi. Kuweni na Adabu acheni familia ipumzishe mwili wa Marehemu panapostahili, ingekuwa kafa ndugu yao wangefanya hayo maigizo?

Yule ni kiongozi mkubwa wa chama kima we kwani mlivomuua hamkuyajua aya Wauuaji wakubwa nyie
 
kwahiyo wewe huoni jinsi wanavyomuhangaisha marehemu? Matokeo yake anaweza kuamka na kuwaambia mumzike maana Naona Mnaleta Siasa Hata kwenye Misiba

Una imani za kichawi, mchawi mkubwa weeeee!!!
 
Wanatafutia kick kwenye msiba huu maana ndio the only place Nanyumbu wengi watajaa si unajua wamepigwa marufuku mikutano ya hadhara sasa masikini msiba Wa brother wameugeuza mtaji Wa kisiasa,kwanza waweke wazi zile laki Tatu Tatu walizochanga wangapi wametoa wangapi hawajatoa maana hata vigoli Wa viti maalumu watoe ili zikaisaidie familia ya marehemu.

Jambo LA mwisho kwa aliewahi kufiwa na mzazi au ndugu anaekuhusu utaelewa kadhia unayoipata mwili Wa marehemu unapokuwa bado haujazikwa unakuwa unarefusha machungu,ni bora mawazo ya wanafamilia yakaheshimiwa kuliko remote kusoma toka chakani ofisi za kinondoni na kuwaburuza wanafamilia,pale msibani wanaosimamia show ya madiko diko kipindi chore cha waiting ni Nanyumbu Wa HQ au?
 
Ingekua na adabu usingekua una andika pumba na pointless hivi kwenye forum

Huyo jamaa ni mjinga kama wajinga wengine,tena LOWASA angechukua hii nchi angeanza kurudi DARASANI kuanzia chekechea bure hadi chuo kikuu,hivi mtu mwerevu anawezaje kusema haya mbele za watu?TANZANIA tumefuga wajingawengi sana,tena ndio unaowakuta kwenye maofisi makubwa na hata huyu jamaa usikute yukokwenye ofisi kubwa sana.Ingawa ujinga hajafuta kabisa hata darasani.
 
Walianza na Lowassa wakahamia kwa Maalim Seif wakaenda kuzomea Bungeni wakaenda kutimuliwa kwny Msosi Dodoma sasa wamehamia kwny Maigizo ya Kutembeza mwili wa Marehemi. Kuweni na Adabu acheni familia ipumzishe mwili wa Marehemu panapostahili, ingekuwa kafa ndugu yao wangefanya hayo maigizo?

Haya majitu yana laana aisee
 
Wanatafutia kick kwenye msiba huu maana ndio the only place Nanyumbu wengi watajaa si unajua wamepigwa marufuku mikutano ya hadhara sasa masikini msiba Wa brother wameugeuza mtaji Wa kisiasa,kwanza waweke wazi zile laki Tatu Tatu walizochanga wangapi wametoa wangapi hawajatoa maana hata vigoli Wa viti maalumu watoe ili zikaisaidie familia ya marehemu.

Jambo LA mwisho kwa aliewahi kufiwa na mzazi au ndugu anaekuhusu utaelewa kadhia unayoipata mwili Wa marehemu unapokuwa bado haujazikwa unakuwa unarefusha machungu,ni bora mawazo ya wanafamilia yakaheshimiwa kuliko remote kusoma toka chakani ofisi za kinondoni na kuwaburuza wanafamilia,pale msibani wanaosimamia show ya madiko diko kipindi chore cha waiting ni Nanyumbu Wa HQ au?

Mnaingiziwa nyie yaani hamkujali afe kama binadamu kwa heshima mkampiga mapanga kuliko hata ng'ombe wa machinjioni halafu mnajifanya mnajali maiti yake, kweli mnafikiria kwa kutumia mlango wa fahamu wa nyuma, wajenzi huru , wauaji wakubwa nyie!
 
Lazima Polisi wa p?t? somo kupitia mpendwa Mawazo hatuwezi kumzika kwa Hofuhofu ya Polisi Mawazo atazikwa kwa hisia zote za kibinadamu bila kutishwa.lazima haki ipatikane kupitia Mawazo, amekufa kwa mate so sana lazima spate heshima anayostahili na si kutiwa Hofuhofu waombolezaji
 
Habari za hivi Pundi Zilizotufikia kutoka kanda ya ziwa na kudhibitishwa na msemaji mkuu wa Chadema Tumaini Makene.

Kwa sasa inaweza kuthibitishwa rasmi na kwa usahihi kuwa ratiba ya kumpatia heshima za mwisho kumuaga kiongozi wetu mahiri na kipenzi cha watu Alphonce Mawazo imebadilika.

Baada ya mashauriano kupitia vikao yaliyofanyika takriban siku nzima ya jana hadi usiku, imekubalika kuwa Mawazo hatazikwa kesho Jumatatu kama ilivyokuwa imepangwa awali na leo hataagwa mjini Geita kama ambavyo wananchi walikuwa wameshataarifiwa kupitia njia mbalimbali.

Taarifa ya ratiba nyingine kuhusu utoaji heshima za mwisho kumuaga Mawazo na mazishi yake, itatolewa baadae.

Asanteni

Tumaini Makene

Tunasahau kama binadam baada ya kukatika pumzi anatakiwa apumzishwe sasa binadamu wengine kifo cha mtu wanageuza mtaji Wa kujipatia umaarufu Wa kisiasa ni mambo yasiyofaa kabisa.
 
Hii ina maana mwili hautazikwa hadi tishio la kipindupindu liishe?
 
Back
Top Bottom