Huyo mawazo hana ndugu.haiwezekani kama kweli ana ndugu wakubali mawazo aoze kusubiri vikao vya nyumbu wakijadili kwenda mahakamani
aliyeoza ni wewe ambaye hujui jua linazama saa ngapi laana ii juu yako
Huyo mawazo hana ndugu.haiwezekani kama kweli ana ndugu wakubali mawazo aoze kusubiri vikao vya nyumbu wakijadili kwenda mahakamani
wewe mbona bei ndogo sana kama unajianika kwa kukosa utu na kuenda kuonyesha thread kwa book saba unathamani gani wewe zaidi ya kwenda choo na kulalamkuu unadhani Hawa jamaa Wana Akili? Ipo siku utasikia mwenyekiti kawauza wote tena kwa Bei ya Jumla.. Haiwezakani muendeshwe tu kama vipofu
Bora nimezaliwa muislamu duh!
Bora nimezaliwa muislamu duh!
Mmemweka kwenye fridge wiki nxima,mkamruhusu upendo peneza aape mapema ili aende kumzika,,baadae mkataka msiba uwe wa kiprpaganda,mkamkalisha kwenye fridge eti mpka shein mumzomee,,,,hvi kama aluekufa hamumjali hvi je tukiwapa nchi itakuaje,,au mnadhani millioni 34 zenu zinaifanya familia yake iwachukulie poa eti,muacheni akapumzike ,,this is too much sasaHabari za hivi Pundi Zilizotufikia kutoka kanda ya ziwa na kudhibitishwa na msemaji mkuu wa Chadema Tumaini Makene.
Kwa sasa inaweza kuthibitishwa rasmi na kwa usahihi kuwa ratiba ya kumpatia heshima za mwisho kumuaga kiongozi wetu mahiri na kipenzi cha watu Alphonce Mawazo imebadilika.
Baada ya mashauriano kupitia vikao yaliyofanyika takriban siku nzima ya jana hadi usiku, imekubalika kuwa Mawazo hatazikwa kesho Jumatatu kama ilivyokuwa imepangwa awali na leo hataagwa mjini Geita kama ambavyo wananchi walikuwa wameshataarifiwa kupitia njia mbalimbali.
Taarifa ya ratiba nyingine kuhusu utoaji heshima za mwisho kumuaga Mawazo na mazishi yake, itatolewa baadae.
Tumaini Makene
Walianza na Lowassa wakahamia kwa Maalim Seif wakaenda kuzomea Bungeni wakaenda kutimuliwa kwny Msosi Dodoma sasa wamehamia kwny Maigizo ya Kutembeza mwili wa Marehemi. Kuweni na Adabu acheni familia ipumzishe mwili wa Marehemu panapostahili, ingekuwa kafa ndugu yao wangefanya hayo maigizo?
Habari za hivi Pundi Zilizotufikia kutoka kanda ya ziwa na kudhibitishwa na msemaji mkuu wa Chadema Tumaini Makene.
Kwa sasa inaweza kuthibitishwa rasmi na kwa usahihi kuwa ratiba ya kumpatia heshima za mwisho kumuaga kiongozi wetu mahiri na kipenzi cha watu Alphonce Mawazo imebadilika.
Baada ya mashauriano kupitia vikao yaliyofanyika takriban siku nzima ya jana hadi usiku, imekubalika kuwa Mawazo hatazikwa kesho Jumatatu kama ilivyokuwa imepangwa awali na leo hataagwa mjini Geita kama ambavyo wananchi walikuwa wameshataarifiwa kupitia njia mbalimbali.
Taarifa ya ratiba nyingine kuhusu utoaji heshima za mwisho kumuaga Mawazo na mazishi yake, itatolewa baadae.
Tumaini Makene
Huyo mawazo hana ndugu.haiwezekani kama kweli ana ndugu wakubali mawazo aoze kusubiri vikao vya nyumbu wakijadili kwenda mahakamani
Kuwa Muislaam ni neema ! Alhamdulillah !
mzikeni jamani,kwa nini mnamtesa namna hii marehemu?
Wewe umejuaje kama na wewe sio mmoja wao....? Mtaletaje siasa kwenye msiba?
Bora nimezaliwa muislamu duh!