Alpha na Omega ya historia ya Israeli ya kale

Unaweza kunipa reference zao kwenye bibilia kuhusu interaction zao?
Kuna kitabu kimoja agano jipya kinaonyesha filipo alivyosafiri kwenda ethiopia.
kushi anatajwa mwanzo 10 kama mjukuu wa nuhu mtoto wa hamu. ukoo wa babu wa waisrael ibrahim unanzia kwa shemu. kwa kuangalia basics utaona hawa watu babu yao ni mmoja nuhu. ila waisrael na wapambe wao huanzia kwa ibrahim. na chanzo cha kutawanyika ni ile project ya mtoto wa kushi nimrod kutaka kujenga mnara ufike mbinguni. hapo kila mmoja na waliokuwa wanasikilizana wakaelekea upande wao na decendants wa kushi wakaja huku ethiopia na hao wazee waliopelekea kuzaliwa ibrahim wakabaki uri ya kaldayo kabla ya ibrahim kuondoka huko na kuja hapo kaanani ambapo ndio kuna fukuto. hiyo ni kwa mujibu wa mwanzo 10-.
 
Safi sana mkuu huko mashariki ya kati, na saudi arabia naona maisha ndio yameanzia huko na huu ni ukweli mtupu.
Ndio maana mafuta yanapatikana huko kwa wingi.
Wanasema organic matter zikikaa mda mrefu zina decay na kuwa petroleum, natural gas na product nyingine.
 
Back
Top Bottom