Sasa kwa akili zako baada ya maangamizi ya yerusalemu ya mwaka 70k ulitaka israeli ya kale iendelee ku exist tuu?..na hayo maangamiz ya kale yalitabiriwa kibiblia ili watawanyike na baadae kuja kuunganishwa kuwa taifa moja...soma kitabu cha ezekiel utaelewa hii kitu.....
ukifanya research utagundua kuwa baada ya sekeseke la mwaka 70AD,hawakutanyika.
Nakumbuka mtawanyiko ulianza miaka mingi kabla ya hapo wakati wa asyria walipouvamia kingdom of israel na makabila ya 10 ya israel ndo yakatawanyika,na haya hitwa makabila yaliyopotea ya wana wa israel,baada ya hapo ulibaki utawala wa yuda ambao ulidumu kwa miaka zaidi ya 100 kabla wababel hawajavamia na kuutawanya ufalme wa yuda.
Baada ya hapo kwa mamia ya miaka hapakuwepo na israel.
Hadi wanakuja kutawala warumi hapakuwepo na utawala wa israel bali herode alitawala kwa amri kutoka Roman empire.
Hadi anazaliwa yesu,hapakuwa na israel,yesu anakua mpaka anafarika miaka 35 baadae hakuna israel,kisha miaka 35 baadae yaani mwaka 70AD ,ndo pakatokea yale maasi,ambayo yalipelekea warumi kulichoma moto hekalu,mda wote huo hilo eneo liliitwa palestina officially,
lakini tena ukumbuke miaka mingi baadae,karibu miaka 500 ndipo waarabu nao wakaanza kuliteka eneo hilo,kwamaana ya tawala mbalimbali za kiarabu na pia persian,mongolia,waturuki na hatimaye British Empire ambao baada ya vita kuu ya pili ya dunia,waliwarubuni waarabu wakaasi utawala wa ottoman empire ambao kwa wakati huo ukitawala eneo lote mpaka palestina.
Baada ya waturuki kushindwa na palestina ikawa chini ya udhamini wa british empire .
Ni waingereza ambao baadae waliwezesha wayahudi kurudi palestina kwa maelewano ya kuishi miongoni mwao na jamii waliyoikuta pale,yaani wapalestina.
Wayahudi walinunua maeneo machache then wakaanzisha vita na hatimaye 1948 wakajitangazia uhuru