eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,227
- 16,178
Hivi mkuu unajua kuna izraeli 2 ?Mkuu unajitaabisha bure! Hakuna taifa, dola, wala nchi duniani ambayo historia yake iko very clear kama taifa la Israel. Rejea maandiko ukapate kuijua historia halisi na iliyokamilika ya taifa hili la Mungu.
Wewe ni Mbumbumbu na huelewi chochote kuhusu Israel,na hakuna iSRAEL mbili labda kama umekaririshwa na sheikhe wako Uchwara ambaye naye hajui chochote kuhusu Israel na kubakiza kukaririshwa kama kasuku.Hivi mkuu unajua kuna izraeli 2 ?
Kuna izrael ya kale ambayo naizungumzia hapa pia unaipata kwenye bible
Lakini pia kuna hii izraeli iliozaliwa 1948 hii sii izraeli ya taifa la mungu ni izraeli nyingine kabisa
Dhibitisha siyo kulalama ovyo,kwa sentesi yako hiyo nani anaweza kuelewa???Ule uzao wa yakobo sio huu wa izrael ya sasa
Ulichokiandika kiko kwa bible ila umetwist kidogo baadhi ya mambo. Kwa mfano, havikuwa muunganiko wa vikundi vidogo vidogo vilivyounda Israel, bali ilianzia kwa Abraham ambaye ni babu yake na Yakobo. In fact, jina Israel ni jina alilopewa Yakobo na malaika na linamaanisha "alieshindana na Mungu na akashinda". Na waisrael ni ni jumuisho la kabila 12, ambazo zote zimetokana na watoto 12 wa Jacob au Israel.
Izrael ilianzishwa na waizraeli waliotoka nchini misri chini ya uongozi wa musa na yoshua ambae alivamia kanaani mnamo mwaka wa 1200 kk.
Muungano wa vikundi na makabila mbalimbali yasemekana ndio chanzo cha kuundwa kwa taifa moja teule chini ya sauli na baadae daudi na Solomoni mwanae Daudi.
Baada ya kifo cha solomoni mfalme mtafaruku uliibuka kiasi kwamba izrael ilipasuka vipande viwili yaani ufalme wa kazkazini ulioendelea kujiita izraeli. Na ufalme wa Yuda ambao mji mkuu wake ukikua Yerusalemu.
Kutokana na kujitenga huku falme hizi zilikosa nguvu ya kushinda vita. Na hivyo kujikuta zikiwa chini ya falme mbalimbali za babiloni uajemi na ugiriki ya kale na hii ilikua ni kuanzia mwaka 587 kk.
Lakini kuliibuka kikundi kilichojiita wamakabayo kilichoanzisha harakati za kurudisha uhuru na waliweza kuwafukuza wagiriki waliokua wakiwatawala kwa kipindi hicho na kuanzisha ufalme na kuanzisha ufalme wa kiyahudi kati ya mwaka 140 kk.
Pamoja na hilo ufalme huo uliwekwa chini ya dola la kirumi mwaka 63kk. Na hatimae kua jimbo la kiroma mwaka 70 bk.
Maangamizi ya yerusalemu mwaka 70bk yanahesabiwa kama mwisho wa Israeli ya kale
Nikukumbushe tu wakati wa ujio wa yesu izraeli na palestina zilikua chini ya dola la kirumi ambao walitawala maeneo yote ya bahari ya mediterenian.
Nimalizie tu kwa kusema izraeli ya sasa sio ile ya taifa teule la mungu. Bali ni uzao wa ashkenazi ambae ni kizazi cha uzao wa Esau. Kama unaelewa zaidi kuhusu Israel ya kale karibu uongezee ili wengine na mimi tuelewe zaidi.
Swali hapa ni kua waizraeli hawa wa 1948 ndio kizazi kile cha yakobo?U
Ulichokiandika kiko kwa bible ila umetwist kidogo baadhi ya mambo. Kwa mfano, havikuwa muunganiko wa vikundi vidogo vidogo vilivyounda Israel, bali ilianzia kwa Abraham ambaye ni babu yake na Yakobo. In fact, jina Israel ni jina alilopewa Yakobo na malaika na linamaanisha "alieshindana na Mungu na akashinda". Na waisrael ni ni jumuisho la kabila 12, ambazo zote zimetokana na watoto 12 wa Jacob au Israel.
Kilichofany8ka 1948 ni kuwarudisha Waisrael kwenye their ancestral land, ambako walikuta inakaliwa na Palestinian s
Sasa wewe unamuuliza nani??? si kama unajua si utuelezee sasa nasi tupate kujua na uweke na FACT zako tuzione,siyo kutuletea maneno IZRAEL badala ya ISRAEL.Swali hapa ni kua waizraeli hawa wa 1948 ndio kizazi kile cha yakobo?
Kwa mujibu wa elimu na technolojia za vinasaba, na hasa matokeo yanayoambatana na project ya Human Genome, hawa wa 1948 wanashabihiana kwa kiasi kikubwa na uzao wa Jacob.Swali hapa ni kua waizraeli hawa wa 1948 ndio kizazi kile cha yakobo?
Kama Ukipata muda, pitia hiyo paper, inaitwa Jewish and Middle Eastern non-Jewish populations share a common pool of Y-chromosome biallelic haplotypesSwali hapa ni kua waizraeli hawa wa 1948 ndio kizazi kile cha yakobo?
ila kushabihiana si lazima pawe na record ya kulinganisha mkuu,sasa DNA ya yakobo waliipata vipi labda?.Kwa mujibu wa elimu na technolojia za vinasaba, na hasa matokeo yanayoambatana na project ya Human Genome, hawa wa 1948 wanashabihiana kwa kiasi kikubwa na uzao wa Jacob.
Acha kutoa povu hapa tunazungumzia wazawa wa yakobo ndio hawa wa sasa au hawa wa 1948 waliotoka huko ulaya ni watu wa kizazi gani cha israeli kati ya yakobo na esauWewe ni Mbumbumbu na huelewi chochote kuhusu Israel,na hakuna iSRAEL mbili labda kama umekaririshwa na sheikhe wako Uchwara ambaye naye hajui chochote kuhusu Israel na kubakiza kukaririshwa kama kasuku.